Uyui HB
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 553
- 512
Sielewi mimi*nifuste ??????
*harafu ?????
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Sielewi mimi*nifuste ??????
*harafu ?????
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Nini pont yako, unataka mlipwe over time kufanya kazi 24 hrs? Bahati mbaya ya serikali imefuta utaratibu huo.Poleni na uchovu wa siku wandugu,
Imetokea mmekutana chuoni mnasoma course moja, mapenzi yamenoga mpaka mnamaliza shule mnakuja kuoana, wote mnafanya field moja let say wote maofisa wa kilimo, maengineer, walimu, wahasibu ect.
Nyumbani mnaweza kutokuongelea field zenu na kuwa na maongezi mengine, kama mkiendelea kuongelea mazungumzo ya kazini nyumbani ni kama mnafanya kazi 24 hrs.
Mh hayo yatanishinda, kupiga paper kila siku!Nini pont yako, unataka mlipwe over time kufanya kazi 24 hrs? Bahati mbaya ya serikali imefuta utaratibu huo.
Anyway back to your topic, mapenzi yanajengwa na common interest baina ya wapendanao. Mwaweza zungumzia kazi au kutozungumzia ili mradi tu kila mtu anaplay part yake.
Mfano mkiwa waalimu mnaweza panga kila siku jion mnapiga paper ukipata kuanzia D ndo utalala chumbani na ukifeli unalala seburen.
Labda kuombana ushauri pia katika taaluma zenu lakini mkifanya taaluma ndiyo maongezi ya nyumbani mtakua hamna maisha.Mkiwa wagen wa kaz Mara nying mtazungumzia Hilo kadir muda unavyosogea mnajikuta mnapata mengne katika maisha watoto na mambo mengine
Mkuu inawezekana tangu shule unambeba sasa mnafanya kazi field moja unaendelea kufanya kazi zako na zake, wewe ndiyo mwandia report, na vinginevyo.Labda muwe na tabia ya umbeya. Mtazungumzia nini kila siku kama sio kuwasema wafanyakazi wenzenu.
Hiyo ya kumsaidia ni kawaida enzi hizo tuko chuo nimemsaidia sana mpaka research. Tatizo mambo ya ofisi kuyahimishia nyumbani. Home show love kwa mwenzi wako.Mkuu inawezekana tangu shule unambeba sasa mnafanya kazi field moja unaendelea kufanya kazi zako na zake, wewe ndiyo mwandia report, na vinginevyo.
Mimi nipo carrier moja na mke Wangu na enjoy sanaPoleni na uchovu wa siku wandugu,
Imetokea mmekutana chuoni mnasoma course moja, mapenzi yamenoga mpaka mnamaliza shule mnakuja kuoana, wote mnafanya field moja let say wote maofisa wa kilimo, maengineer, walimu, wahasibu ect.
Nyumbani mnaweza kutokuongelea field zenu na kuwa na maongezi mengine, kama mkiendelea kuongelea mazungumzo ya kazini nyumbani ni kama mnafanya kazi 24 hrs.
Nini?😀😀😀😀
huyo mission town!Nini?