Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,350
Poleni na uchovu wa siku wandugu,
Imetokea mmekutana chuoni mnasoma course moja, mapenzi yamenoga mpaka mnamaliza shule mnakuja kuoana, wote mnafanya field moja let say wote maofisa wa kilimo, maengineer, walimu, wahasibu ect.
Nyumbani mnaweza kutokuongelea field zenu na kuwa na maongezi mengine, kama mkiendelea kuongelea mazungumzo ya kazini nyumbani ni kama mnafanya kazi 24 hrs.