donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Insh'allah mkuu,Aseeh hongera mtoto mzuri, Mungu ambariki
Hahaha mkuu taratibuHapa dogo langu limepata kidem ngoja nilishitue
hongera baba CAREEN! mwanaume kuzaaaa!! in gwajmaz voice!!
Masingle maza wamekufanyaje mkuu? Mtoa mada ni baba careen, au nae ni single faza?Huku ni kujitoa ufahamu, hivi mbona tunasema kila Mara hapa jukwani kuhusu kuweka mitoto yenu mitandaoni.Nyie single Mather mn matatizo sana
mmmmh unanitega shost nitolewe bikra leo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] upcoming lemutuz aunamuona re mutuzzzzz
Msalimie Mkuu.
Kuna watu watakuja kusema kwa nini unamuanika Mtoto mtandaoni? Wasichojua, mtoto ni wako wala hupangiwi.
Acheni kumset ujinga jamaa picha ikipostiwa hapa inaingia hadi kwenye serva za google na kuna watu wanazinyonya atakuja kushangaa watu wamempost kwenye site za ajabu.Masingle maza wamekufanyaje mkuu? Mtoa mada ni baba careen, au nae ni single faza?
.
.
Mtoto ni wake, acheni kutoa mapovu. Pia sema watoto na sio mitoto!