Careen anawapa hi.....!!!!

Careen anawapa hi.....!!!!

Hivi suala la haki za watoto lipoje kuweka picha zao mitandaoni bila ridhaa yao hatuoni kama tunafanya makosa?
 
Huku ni kujitoa ufahamu, hivi mbona tunasema kila Mara hapa jukwani kuhusu kuweka mitoto yenu mitandaoni.Nyie single Mather mn matatizo sana
Acha kihele hele cha kupangia watu maisha!
 
Mtoto wa mwanaume mwenzio unamleta hapa umeomba kibali toka kwa mwanaume wa shoka yakuwa unampost mwanae huku
 
Hivi suala la haki za watoto lipoje kuweka picha zao mitandaoni bila ridhaa yao hatuoni kama tunafanya makosa?
Tanzania sheria pekee inayotambulika ni ya unyanyasaji na ukatili dhidi ya watoto ,hizi zingine za namna ya kuishi na watoto wetu majirani msitupangie kila mtu ana Uhuru wake usimuingilie
 
Huwa nawashangaa wazazi wanao waweka watoto wao kwenye mitandao
Sijui umri wao haukuwapasa kuwapata hao watoto
 
ila umri wa Diamond,Jz na ma star wengine huwa hanuuhoji eti au wale huwa wana post wadogo zao!? Usimpangie maisha kila mtu ana namna yake ya kuishi na wanawe wewe kama hupendi basi mwenzio anapenda na anajisikia fahari
 
Tanzania sheria pekee inayotambulika ni ya unyanyasaji na ukatili dhidi ya watoto ,hizi zingine za namna ya kuishi na watoto wetu majirani msitupangie kila mtu ana Uhuru wake usimuingilie
Nadhan hata mtoto nae ni mtu hivyo nae ana uhuru wake kwann usambaze picha ake mitandaoni huku yeye akiwa hajui na hatambui kinachoendelea... Vipi akiwa mkubwa na kukuta picha hizo mitandaoni ambazo anaweza asizipende lakini ndio alisha postiwa na mama ake... Au mda mwingine hizo picha zinajadiliwa vibaya na members wengine wa hizo social networks...
 
Acha unafiki muache mtu afanye anachojisikia kwa kizazi chake we inakuuma nini? Akija kukuta mtandaoni itambidi aheshimu maamuzi ya baba yake kuamua kumuweka sio kila tulichokua tunafanyiwa na wazazi wetu Leo hii tunakifurahia ila inatupasa kuheshimu walichofanya na kujenga misingi yetu mipya katika kizazi chetu
 
Ahaa kumbe unajua kama kuna mda haufurahii baadhi ya vitu ulivokuwa ukifanyiwa na wazaz wako, sasa kwann na ww usichukue tahadhari kutowakwaza wanao hapo baadae pindi wakiona hicho unachowafanyia kwa kupost picha akiwa wakiwa wadogo na hajitambui?

Mm hakiniumi kitu ila nlikuwa natoa maoni yangu juu ya haki za watoto kwani wengi tumekua tukiwakosea watoto pasipo wao kujua kama tunawakosea kwa kuvunja haki zao.

Mfano mzazi anamvalisha mtoto vinguo vya kiume na wakati huo katoto ni jinsia ya kike hadi inafika mda inaleta shida kumtambua kama ni jinsia gani... Ila hapo mzazi utakuta hajui kama kavunja haki za mtoto..
 
Nakaomba haka katoto jamani kazurije
Nikuazime huyu Caren wangu kwa muda?
upload_2017-6-2_17-54-8.jpeg
 
Sijajua kama careen atakuja furahia hii picha kwanza hujamsitili vizuri hata kimavazi kitu ambacho sio vizuri hebu tuwaheshimu watoto wetu...

Hapa pia anaweza akaja mtu aka koment vibaya juu ya hii picha (siombei itokee) najua ww mzazi utajisikia vibaya lakini kwa mtoto mwenyewe nadhan ndio ataumia zaidi kuliko kwa kosa ulolifanya mzazi... Sasa kwann mzazi usimuheshim mtoto?
 
Ahaa kumbe unajua kama kuna mda haufurahii baadhi ya vitu ulivokuwa ukifanyiwa na wazaz wako, sasa kwann na ww usichukue tahadhari kutowakwaza wanao hapo baadae pindi wakiona hicho unachowafanyia kwa kupost picha akiwa wakiwa wadogo na hajitambui?

Mm hakiniumi kitu ila nlikuwa natoa maoni yangu juu ya haki za watoto kwani wengi tumekua tukiwakosea watoto pasipo wao kujua kama tunawakosea kwa kuvunja haki zao.

Mfano mzazi anamvalisha mtoto vinguo vya kiume na wakati huo katoto ni jinsia ya kike hadi inafika mda inaleta shida kumtambua kama ni jinsia gani... Ila hapo mzazi utakuta hajui kama kavunja haki za mtoto..
Inaonyesha hujazaa, zaa kwanza alafu usikilize walimwengu wanavyokupangia namna ya kumlea mwanao
 
inawezekana ni mapenzi ya dhati kwa mtoto, ila mitandao kwa siku hizi sio sehemu salama na hatujui kesho kitatokea nini, hizi picha zisije zikatumika vibaya..
 
Humu humu utashangaa imewekwa na mtu kwenye Display na mjina wa ajabu...istoshe huyo aliyemuweka jina ni fake hata dp hajajiweka ya picha yake hapo ndo utajua hajawaza mara mbili
 
Back
Top Bottom