card sharing multichoice africa

card sharing multichoice africa

paje angalia hii Nilesat 7.0w tanzania bimu haionekani kabisa kuna mikowa tanzania inakubali kwa kutumia dishi futi 8 mufano dr arusha mor mikowa mingi inakubali kunawajanja wanatoka nakadi dubai analipia mwaka mzima wanaonyesha na rigi atausipo lipiya kuna fta nyingi sana naninzuli sana
 
paje angalia hii Nilesat 7.0w tanzania bimu haionekani kabisa kuna mikowa tanzania inakubali kwa kutumia dishi futi 8 mufano dr arusha mor mikowa mingi inakubali kunawajanja wanatoka nakadi dubai analipia mwaka mzima wanaonyesha na rigi atausipo lipiya kuna fta nyingi sana naninzuli sana

ok. nimekusoma. unajua tanzania wameweka picha ya kuonesha kuwa haipatikani kwa sababu wameikusudia kwa ku band yaani hivi viji-dishi vidogo, ila kwa futi nane hapo nimekukubali.
swali: ukitumia dishi ya futi 6 vipi?
 
kweli wamezifuta nyingi. wamabakisha kidogo za C-band. fashiontv, history channel na ma-supersport. hizi za ku band zipo kwenye satellite gani. na angle yake please.
zimehamishiwa hapohapo kwenye ku 68.5e zote za dstv na sabc 1-3 fta chomowa hiyo c bd weka kiremp ya ku
 
ok. nimekusoma. unajua tanzania wameweka picha ya kuonesha kuwa haipatikani kwa sababu wameikusudia kwa ku band yaani hivi viji-dishi vidogo, ila kwa futi nane hapo nimekukubali.swali: ukitumia dishi ya futi 6 vipi?
Futi sita inagoma ata tuti8 inachaguwa sitanzania yote kunamikowa haikubali nakuomba uchungulie kwenye sd yangu kuna vitu unisaide
 
nataka nianzishe thread mpya kuhusu free to air zinazopatikana hapa tz na jinsi ya kuzipata. au tayari imeshaanzishwa?
 
nataka nianzishe thread mpya kuhusu free to air zinazopatikana hapa tz na jinsi ya kuzipata. au tayari imeshaanzishwa?
Nivizuli wengi hawajuwi nijinsi gani unaweza pata dataa nakuomba kachungulie kwenye thread yangu kunamsada niliuomba unisaidie
 
Wakuu nimesoma kila kitu humu jamvini kuhusu hizi tv channel's!mimi huwa natumia DSTV ila nalipia USD 45 per month ili niweze kuona atleast league ya Uingereza nk.ila zinaniuma kweli!nataka niweke dish la free!nichukue la inchi ngapi?je ni decorder gani nzur inapatikana hapa Dar?au kama kuna kitu naweza kuongezea kwenye ungo ule wa DSTV nikapata channels za free pia naomba nijulishwe manake kuongeza maungo juu ya bati ni kumfanya baba mwenye nyumba aniongezee kodi bure akijua nafaidi kumbe ni njia moja wapo ya kupunguza stress tu!

Nawasilisha wakubwa!
 
kwa mtu mwenye computer ya DESKTOP kuna aina tofauti za PCI card jina lake haswa linaitwa dvb card, (inawekwa sehemu inayokaa sound card), mara ya mwisho mwaka jana nilinunuwa dubai sawa na elfu 26 za kitanzania zinafanya vyema kabisa. kwa maduka ya bongo sijaulizia kama zinapatikana. jaribuni kwenye maduka ya accesory za computers. na kwa wenye laptop pia zipo USB version ila hizi za usb ni ghali mno. zinaweza kufika mara tano ya PCI.pia kuna manufacturer tofauti kama vile twinhan, technisat (dola 100), skywave (dola 15)angalia mfano wake hapa kwenye link Satellite DVB Sales : TwinhanDTV ATSC D+A HDTV TV Tuner PCI Card, Satellite DVB Card, twinhan_atsc_hdtv_pci_card
huku bongo HD hazipatikani jee? PCI TV Capture Card (Records video in MPGE1,MPGE2, & AV1 file) zinaweza kuchakachuwa? nategemea msada wako tafadhali
 
Wakuu nimesoma kila kitu humu jamvini kuhusu hizi tv channel's!mimi huwa natumia DSTV ila nalipia USD 45 per month ili niweze kuona atleast league ya Uingereza nk.ila zinaniuma kweli!nataka niweke dish la free!nichukue la inchi ngapi?je ni decorder gani nzur inapatikana hapa Dar?au kama kuna kitu naweza kuongezea kwenye ungo ule wa DSTV nikapata channels za free pia naomba nijulishwe manake kuongeza maungo juu ya bati ni kumfanya baba mwenye nyumba aniongezee kodi bure akijua nafaidi kumbe ni njia moja wapo ya kupunguza stress tu!Nawasilisha wakubwa!
Inategemeaana na mahitaji yako atahiyo dishi ndogo unaweza pata chanel za fta za nnje mwelekeo tofautitofauti zakibongo huwezi ni lazimz kuanzia dishi futi6
 
ok. nimekusoma. unajua tanzania wameweka picha ya kuonesha kuwa haipatikani kwa sababu wameikusudia kwa ku band yaani hivi viji-dishi vidogo, ila kwa futi nane hapo nimekukubali.
swali: ukitumia dishi ya futi 6 vipi?


mzee mimi nipo botswana lakini napata tv za bongo kupitia intel906-c,lakini tunapta tbc,star,chanel10 thats all,itv imepotea ghafla
tunatia dish kubwa lile la kuweka chini,msaada wowote mzee?
 
Mkuu Paje naomba unisaidie nifanyeje niweze kuziona Channel za dstv kama natumia dish lao bila ya kulipia.
 
hapa nimefunga madish mawili madogo ku. moja linaelekea upande wa dstv na lingine linaelekea upande wa gtv. nimeweka strong decorder na kabox kadogo keusi. napata full multi choice.
 
Darasa tosha nitafuatilia na kutoa mrejesho
 
hapa nimefunga madish mawili madogo ku. moja linaelekea upande wa dstv na lingine linaelekea upande wa gtv. nimeweka strong decorder na kabox kadogo keusi. napata full multi choice.
Unacho kisema ni kweli inafikamda itaacha kufungua
 
habari wakuu.
katika forum hii hakuna thread yoyote inayohusu cardsharing. kama kuna mtu yoyote anayefaham cardsharing basi atupe info. mambo ya c lines na kadhalika.
target yetu kwa sisi africa iwe zaidi katika MultiChoice Africa on Eutelsat W7 at 36.0°E

au hata mytv africa kwani ndio tv pekee zenye akili hapa east africa
Vipi paje kuhusu hili zoezi, ulifanikiwa kulikamilisha? Tafadhali tujuvye ili na sie tuchangamkie.
 
uko wapi Paje njoo utoe msaada huku!. mia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom