card sharing multichoice africa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

card sharing multichoice africa

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Paje, May 18, 2011.

 1. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  habari wakuu.
  katika forum hii hakuna thread yoyote inayohusu cardsharing. kama kuna mtu yoyote anayefaham cardsharing basi atupe info. mambo ya c lines na kadhalika.
  target yetu kwa sisi africa iwe zaidi katika MultiChoice Africa on Eutelsat W7 at 36.0°E

  au hata mytv africa kwani ndio tv pekee zenye akili hapa east africa
   
 2. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
 3. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  unajua kuna aina fulani ya decoder unaweza kuunganisha na internet. au card za dishi ziitwazo dvb card ambazo huweza kuunganisha katika destop ya kawaida kama unavyofanya kwa tv card.
  hasa kwa kipindi hiki ambacho tayari watanzania tuna broadband na hsdpa basi tunaweza kuangalia channels za dstv au multichoice africa kwa kutumia decoder na satellite dish zetu za kawaida na umuhim wa internet ni kwa ajili ya password tu. hii ni kwa sababu hawa dstv huwa wanabadilisha password kila baada ya sekunde 30 ndio maana watu wanatumia hii technology ya cardsharing kwa lengo la kupata password

  kwa maelezo zaidi kuhusu hii hebu soma : Card sharing - Wikipedia, the free encyclopedia au Card sharing - Wikipedia, the free encyclopedia
   
 4. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kwa kifupi ni njia ya kuangalia DSTV , MYtv afica zile za ghana na nyengine zote kama utakuwa na DISHI au UNGo wako buree. kama tu utapata cline kutoka internet
   
 5. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #5
  May 20, 2011
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Mkuu elezea vizuri hii kitu mkuu wangu, watu wajiachie pay tv bongo watu wanalipa dollar 70 kwa mwezi, siyo mchezo
   
 6. B

  Bendera ya bati Senior Member

  #6
  May 20, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu rejea tena na maelezo ili tukupate vizuri maana utakuwa umetusaidia.Mfano nina dishi la kawaida,sasa nianzie wapi?
   
 7. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  cha kufanya ni kuelekeza ungo wako upande wa DSTV au MYTV kulingana na mahitaji yako. na utapofungua zile channel reciever yako itashindwa kufungua italeta maneno kama scrambled channel au locked chanel.
  cha muhimu ni uweze kupata password au decoding word. ambayo inabadilika karibu kila baada ya dakika chache. sasa watu wanavyofanya ni kuunganisha reciever yako na internet. na kufanya configurations. na unahitaji kupat c line katika forum mbali mbali (i will give some nikitulia). ambayo ndio inakupatia weye kuunganishwa na card ya mtu ambaye ana valid subscription katika real time envirinment.
  mfano wa Cline ni kama:
  C: 196.46.191.104 22121 sharingarab17 sharingarab.co.cc
  au

  C: cccam.satlover.com 18572 Free4ever_6B8A5DBF no { 0:0:3 }

  na kadhalika ambazo ukikusudia kuzipata zinapatikana kirahisi sana internet
  cha muhim uwe na internet iunganishwe na reciever na hailazimu iwe faster internet hata dial up inatosha.
   
 8. C

  Cele Member

  #8
  May 21, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kjn hy njia ya kuunganisha na PC kwa kiasi fulani ni watz wachache ambao wanaweza!
  sasa kwa wale ambao hawana hy PC lkn wanazo recievers tu(king'amuzi) watafanyaje?
  @yussufmzee
   
 9. C

  Cele Member

  #9
  May 21, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa sisi 2sio na PC cha kufanya tuwe na king'amuzi cha strong(kwa kiasi fulani ndicho ninachokielewa)
   
 10. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kuna aina maalum ya reciever zinaweza kuunganishwa na internet. watengenezaji wamefanya hivyo baada ya kugundua umuhimu huo. zina sehemu ya kuchomeka internet. ila sio reciever zote hizi za bei ya chini ya laki na nusu hazina function hiyo.
  kama vile baadhi ya simu zinakosa bluetooth, music player na n.k
   
 11. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #11
  May 21, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kwa mtu mwenye computer ya DESKTOP kuna aina tofauti za PCI card jina lake haswa linaitwa dvb card, (inawekwa sehemu inayokaa sound card), mara ya mwisho mwaka jana nilinunuwa dubai sawa na elfu 26 za kitanzania zinafanya vyema kabisa. kwa maduka ya bongo sijaulizia kama zinapatikana. jaribuni kwenye maduka ya accesory za computers. na kwa wenye laptop pia zipo USB version ila hizi za usb ni ghali mno. zinaweza kufika mara tano ya PCI.
  pia kuna manufacturer tofauti kama vile twinhan, technisat (dola 100), skywave (dola 15)
  angalia mfano wake hapa kwenye link
  Satellite DVB Sales : TwinhanDTV ATSC D+A HDTV TV Tuner PCI Card, Satellite DVB Card, twinhan_atsc_hdtv_pci_card
   
 12. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  lengo la hii internet connection ni kusoma password au decoding word tu sio kuleta picha, picha zinakuja kupitia satellite dishi lako, hivyo unaweza kuangalia siku nzima usimalima 2 MB.
  kwa hiyo wenye fedha wanapata DSTV kwa kutumia smart card (irdeto 2) zao , na sisi tunakula unyunyu kwa kutumia internet connection only.
   
 13. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #13
  May 22, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Asante mkuu kwa topic hii mie ningependa kujua zaidi sasa ukiwa na receiver na lappy au desky ndio unaunganisha alafu unaenda wapi kwenye comp kutafuta hizo cline?
  Je receiver za wale madishi meupe
  Na ukiipata cline unaiandika wapi?
  Na inakuwaje kupata hizo channel ni kwa tv yako au compuer?
  makubwa yataweza kazi?

  Unadhani …tu ukiwa umeenda abroad utaweza pata channel za africa esp Tanzania?
   
 14. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #14
  May 22, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kwanza ujue kila satellite duniani ina channel zake, kila channel inapatikana katika satellite maalumu. na hakuna hata satellite moja duniani inayopatikana dunia nzima , kwa mfano intelsat 10 ndio satellite iliyosheheni tv za kibongo na za kiafrika , kihindi na n.k kwa kifupi hili enelo lenye same visibility. hii huwezi kuipata ukiwa kaskazini yaani ulaya, uarabuni uturuki na n.k

  na ulaya nako kuna satellite kama vile hotbird , astra, na nyingi nyenginezo ambazo miale yake haifiki huku kwetu.

  ili utumie pc yako kama satellite reciever unahitaji extra hardware kwanza yaani kifaa kama sound card, au tv card ila hicho kinaitwa dvb card. uwe na ungo yaani satellite dish nalo liwe limeelekezwa angle iliyo sahihi kulingana na satellite unayo ilenga.
  soma juu katika thread hiii hii kupata maelezo zaidi. maswala yako mengine yote yanajibika kwa maelezo ya juu.
  i hope i helped
   
 15. C

  Cele Member

  #15
  May 25, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa wale wny ving'amuzi vya strong x_series fuata hatua zifuatazo upate scrumbled chnlz za sabc 1 mpk 3 na etv.
  1.weka chnl husika mfano sabc1,then bofya 8280 au 8282 ili upate biss key table yenye row 60 na column 32.
  2.kisha row ya 1 na 2 weka namba 0 zote mfano 00000000000000000000000000000000 then bofya exit na save.furahia mechi kali kati ya bfbf na mafarao.
   
 16. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #16
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mwenye data za e.tv FTA mara ya mwisho ilikuwa inapatikana Astra at 31.5e e.tv na e.tvA na za dstv chache FTA kwenye MPG4 kwasa zimehamiswa mwanye tata msada tafadhali
   
 17. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #17
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,718
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  mkuu mimi ndio ninayotumia hiyo decoder alinielekeza kutumia jamaa yangu Mnigeria tulikuwa naye nje ila tatizo ya hii kitu inahitaji internet ya uhakika sio ya kubabaisha kwa kuwa hawa dstv kipindi cha mwaka uliopita walikuwa wanakaa hadi wiki moja ndio wanachange code sasa hivi ni tofauti unakuta wakati mwingine nusu saa tu wameshabadili sasa kama net inakuwa iko down au inasumbua itashindwa kuupdate hizo code kifuatacho ni nini channel zote za kulipia zinashindwa kufunguka.
   
 18. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #18
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
 19. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #19
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kweli wamezifuta nyingi. wamabakisha kidogo za C-band. fashiontv, history channel na ma-supersport. hizi za ku band zipo kwenye satellite gani. na angle yake please.
   
 20. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #20
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  sio hivyo mkuu. usikate tamaa. internet ndogo kabisa inaweza kufaa. internet kazi yake ni kupokea decoding word tu(kama password). ambalo linabadilika after some minutes au hours au hata siku nzima ikabadilika mara moja tu. kitu hiki internet ya 56kbps=(7KB/s) ni zaidi kuliko unchohitaji. (internet ya simu)
   
Loading...