carburetor vs fuel injection

Agera 1

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
4,080
4,217
habari zenu wakuu
hivi gari lazima iwe na carburetor ? nilijikuta katika mabishano makubwa baada ya watu niliokua nao kusema ni lazima et ata vogue lina carburetor tena mbil , me navyjua gari yenye carburetor mojawapo ni landrover 90/110 sa hivi ni fuel injection
nifafanulien hichi kitu
 
Caburator inatumika kuchanganya air and fuel

Tunapata air fuel ratio mixture

Lkn all in all caburator imetumika kweny gar za zaman

Lkn kwenye gar mpya za dunia hii iliyovaaa skin tight gar znatumia fuel injector
 
Back
Top Bottom