kayanda01 JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 1,416 Reaction score 1,287 Sep 25, 2026 Thread starter #21 morphine said: inawezekana, muda mrefu sana nilifunga Lumumba na nikauza na gari. Click to expand... Niliwahi kuitafuta Autowatch pale Lumumba sikupata. Genuine haikuwepo kabisa, nikaambiwa zimekuwa adimu sana. Niliambiwa zilizopo ni feki tupu! Naona hazina mzunguko kibiashara. Wateja wengi wanafunga haya malarm ya kichina.
morphine said: inawezekana, muda mrefu sana nilifunga Lumumba na nikauza na gari. Click to expand... Niliwahi kuitafuta Autowatch pale Lumumba sikupata. Genuine haikuwepo kabisa, nikaambiwa zimekuwa adimu sana. Niliambiwa zilizopo ni feki tupu! Naona hazina mzunguko kibiashara. Wateja wengi wanafunga haya malarm ya kichina.