Car immobilizer help me plz??

Car immobilizer help me plz??

ENGINE CONTROL

Senior Member
Joined
Nov 20, 2011
Posts
136
Reaction score
28
Wakuu naomba mnijuze na kunisaidia juu ya hii ishu ya car immobilizer.
Kuna suzuki v6 imetia lock ya immobilizer so gari haiwezi waka .Je kuna njia yoyote yakuweza kuanlock immobilizer??

Naomba kama kuna yeyote mwenye ufaham wa hili anisaidie.

Je inafanyeje kazi?
 
Au kama kunauwezekano wa kuidisconnect au naweza kuutoa mfumo wake kabisa kipindi hiki wakati imejitia lock.
Kama kunayoyote anajua inafanya vipi kazi ningeomba anijuze wataalam ili nichanganue ni wapi nianzie kuichinjilia mbali au kuinjunga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom