ze leita izi ze kesinimatumaini yangu wote ni wazima, mimi natakajua kuhusu magari kutoka south africa,kwa nini hapa tanzania kuna magari machache kutoka south africa,watu wengi wanapenda kununua magari kutoka dubai au japan, je magari aina ya toyota kutoka south africa je hayana ubora au ni bei juu sana yeyote mwenyekufahamu kuhusu magari yanayotengenezwa nchini humo atujuze
nasikia kule hukuti gari ya kijapan kwenye barabara zao
Gari za South Africa ni ghali na zina ubora kuliko mlizozowea kununua Dubai au Japan. Vitu vingi kutoka South Africa Watanzania hamuwezi kuvinunua. ni Bora muende huko huko Dubai na Japan. vitu vya South Africa mtuachieni sisi tuliozea ndio tunaoujua ubora wake. Nyinyi chungulieni hizo pesa zenu mmezowea vya kunyonga vya kuchinja hamuviwezi
hapo mkuu ishu ni bei..si unajua wenzetu hakuna ma-used kama tunayotoa japani na dubai...ila kama unataka kufungua yard ya magari ya south afrika changamoto kubwa ndo hiyooo
mkuu.., kumbe wewe ni mzulu
Atuachie AVATAR yet atumie hii........
gari zaoo ni madhubuti sana na bei pia ni juu sana
Imefilisiwa na akina Mataka sasa mnaitaka ya nini? Hiyo siwezi kuitumia unataka wanisuuuuu
Kwani mbona ya uingereza na ujerumani na marekani pia ni machache.............
<br /><b>Tatizo lenu Watanzania hamuwezi kununua vitu Quality, Hakuna hata mfanyabiasha wa Kitanzania anayekuja kununua Vitu South Africa hao wote wanaojifanya wana pesa huko kwenu wakija huku wanakimbia. Mnakuja huku kununua vitu halafu mkizigeuza pesa za huku na mkilinganisha na zenu mnaona ghali. Mkuja huku mnatusumbua kuwatembeza halafu hamnunui vitu mnalia tu kazi kusema bora Dubai</b>
RED: hapo ndio kilio chako kilipo.. kwigine koote unapiga kichaka.. weka ada ya kutembezwa..!!Tatizo lenu Watanzania hamuwezi kununua vitu Quality, Hakuna hata mfanyabiasha wa Kitanzania anayekuja kununua Vitu South Africa hao wote wanaojifanya wana pesa huko kwenu wakija huku wanakimbia. Mnakuja huku kununua vitu halafu mkizigeuza pesa za huku na mkilinganisha na zenu mnaona ghali. Mkuja huku mnatusumbua kuwatembeza halafu hamnunui vitu mnalia tu kazi kusema bora Dubai
<br />
<br />
je gari za japan zinapatikana na bei yake ikoje
RED: hapo ndio kilio chako kilipo.. kwigine koote unapiga kichaka.. weka ada ya kutembezwa..!!