Nimatumaini yangu wote ni wazima, mimi natakajua kuhusu magari kutoka south africa,kwa nini hapa tanzania kuna magari machache kutoka south africa,watu wengi wanapenda kununua magari kutoka Dubai au Japan, je magari aina ya Toyota kutoka south africa je hayana ubora au ni bei juu sana yeyote mwenyekufahamu kuhusu magari yanayotengenezwa nchini humo atujuze