Car from south africa

Hahaahaha!
Air Tanzania umejionyesha ulivyochukuliwa na makaburu leodamn! Why you man!!
Kama unataka tuongelee gari nzuri na sio gari ghali wewe sema tuongee mkuu!
Sisi tupo bongo na tunapiga corner na nissan hardbody za mkaburu, tunazungusha na rover za uk na tunatambaa na nissan za japan vile vile!!
Stop that shit about wa-tz hawawezi this and that, especially kuongelea swala la bei.
Unajua bei ya nissan navara ya UK na ya SA, same yr, same mealage? Na unajua tofauti zake?

naomba kujua je gari za japan zinapatikana na bei zake zikoje e.g toyota corola,carina etc,mwenye kujua anifahamishe

Hahaahaha!
Air Tanzania umejionyesha ulivyochukuliwa na makaburu leodamn! Why you man!!
Kama unataka tuongelee gari nzuri na sio gari ghali wewe sema tuongee mkuu!
Sisi tupo bongo na tunapiga corner na nissan hardbody za mkaburu, tunazungusha na rover za uk na tunatambaa na nissan za japan vile vile!!
Stop that shit about wa-tz hawawezi this and that, especially kuongelea swala la bei.
Unajua bei ya nissan navara ya UK na ya SA, same yr, same mealage? Na unajua tofauti zake?

I dont care what car do you drive Bro, Hapa tunazungumzia ubora wa gari na bei. Gari ya UK na ya South zinaweza zikawa same price au ya South Africa kuwa bei ipo juu kuliko UK hata kama is the same year, same Toyota, Nissan Navara au gari yoyote. Gari za South zinasifika kwa Ubora na uimara ndio maana wanasoko kubwa Nje na wala hawategemei masoko ya Africa kwa uuzaji wa Magari yao. Go and google get inf bro

Nakata kujua gari za japan zinapatikana south africa

Zinapatikana huko Durban, Wahindi ndio wanaoziuza, wanunuaji wa kubwa ni Wageni sio wenyeji. Gari za kutoka Japan kuzisajili au kupata plate number hapa South Africa ni vigumu kwa kifupi haziruhusiwi na kusajiliwa hapa. na ukinunua lazima uwe na passport kuonyesha kuwa hiyo Gari inatoka nje ya Nchi hata kufanyia Service hairuhusiwi. Wanasema ubora wake upo chini. Ukinunua unapakia kwenye truck kwenu ukakumbane na TRA huko ndio unaweza kulipa ushuru kuliko bei uliyonunulia hilo gari

wa bongo huwa tunapendelea vitu vipya vya pili sio vya kwanza kwa kwa upande wa sauzi hatuwezi..

wa bongo huwa tunapendelea vitu vipya vya pili sio vya kwanza kwa kwa upande wa sauzi hatuwezi..

Mkuu ni kweli kwani hata huyo Bakheresa mwenyewe ananunua used car, ijekuwa sisi walalahoi? Kwani hata hayo mabasi ya mikoani wanayoyanunua mengi yao ni used. Kununua Mabasi mapya bei imesimama mkuu

Zinapatikana huko Durban, Wahindi ndio wanaoziuza, wanunuaji wa kubwa ni Wageni sio wenyeji. Gari za kutoka Japan kuzisajili au kupata plate number hapa South Africa ni vigumu kwa kifupi haziruhusiwi na kusajiliwa hapa. na ukinunua lazima uwe na passport kuonyesha kuwa hiyo Gari inatoka nje ya Nchi hata kufanyia Service hairuhusiwi. Wanasema ubora wake upo chini. Ukinunua unapakia kwenye truck kwenu ukakumbane na TRA huko ndio unaweza kulipa ushuru kuliko bei uliyonunulia hilo gari

asante ila umenivunja mbavu,je gharama za kupakia kwenye truck ni kubwa?

Tatizo lenu Watanzania hamuwezi kununua vitu Quality, Hakuna hata mfanyabiasha wa Kitanzania anayekuja kununua Vitu South Africa hao wote wanaojifanya wana pesa huko kwenu wakija huku wanakimbia. Mnakuja huku kununua vitu halafu mkizigeuza pesa za huku na mkilinganisha na zenu mnaona ghali. Mkuja huku mnatusumbua kuwatembeza halafu hamnunui vitu mnalia tu kazi kusema bora Dubai

Badilisha na uraia kabisa......

Kaka shida ya southa africa ni kesi, wanapenda sana kesi za kusingizia unajua hapo kati miaka kadhaa iliyopita wakati wa kutekeleza program ya kipolisi ya SACPS walikuja kukamata magari mengi yaliyokuwa yamenunuliwa na watz kihalali lakini yakaripotiwa yameibiwa mara baada ya kuvuka mpaka kutoka South kuingia zimbabwe, sasa hali hiyo ilileta utata, manake zaidi ya magari 1500 yalikamatwa bongo bila shaka unakumbuka ma-mercedes benz, five-four, isuzu, Vockswagen. Kwa ujumla kabla sijarejea kuzungumzia kwanini hawanunui magari ya bondeni, nikueleze kuwa Gari aina ya VW Bondeni ndilo linaloheshimika hata kuliko magari tunayoyasifia sisi kama Benz na BMW. Msauzi akinunua VW anajisikia kama mzalendo amenunua cha kwao inagwa kuna viwanda vya magari karibu aina zote kubwa yaani Toyota, Benz, BMW , Land lover, nk , sina uhakika wanaunganisha ama wanatengeneza ingawa kwa Toyota wanatengeneza pia \
Sasa kwenye suala la kuuza bongo inaonekana kuna hali ya woga hasa kwenye eneo la spareparts kwani bado hakuna maduka ya spare ya south africa hapa bongo ikilinganishwa na spare za japan, hali hii inafanya watu kuwa waoga wa kuagiza gari la Bondeni, na hata ukinunua gari kutoka huko basi spare parts mara nyingi lazima uagize nje hasa Zambia na Mosambique. sasa hii pia inakuwa shida. Lakini kubwa ni hilo la hapo juu walikuwa wanatuchuuza sana, hasa wakati ule mwaka 1993 hadi 1998 tukiingiza five four, Benz, BMW, Isuzu Pick ups na Toyota PICK UPS ilijitokeza tatizo hilo kwani kwa magari mfano hayo 5-4 yalikuwa yakitolewa kama mbolea ya ruzuku kwa wakulima nchini humo kwaaajili ya kuwawezesha kwenda mashambani na kusimamia shughuli za kilimo lakini wakawa wanauza kwa wabongo, wanakupa nyaraka zote ukishafika border post kuvuka upande wa pili wanaripoti polisi kuwa gari lake limeibiwa, ili walipwe bima na ikajakubainika baadaye baada ya kumamata magari mengi bongo lakini wakakuta wabongo wanadocuments zote!
Siyabonga!!!

2012_land_rover_discovery_4_06-1024x683.jpg

hivi hii gari huko ni kiasi gani?

ni discovery 4

naskia gari kutoka SA huwezi kupata spares kokote si dubai, si UK, si japan bali ni south africa only..je ni kweli?

Mimi sio Kazi yangu kuwatembeza Watu huku, ila nafanya kwa Washikaji na wala sidai ada yoyote. Ila mnakuwa wagumu kuweka Mafuta kwenye gari hilo ndio tatizo la watanzania wakija huku kibiashara wanapenda dezo utafikiri mpo kwenu. wabahili mno pesa mnazichungulia mno na nyinyi

Mbona unahasira sana na wa tz wenzako?

Sibadilishi mimi ni Mtanzania na nitabakia Mtanzania, Naipenda nchi yangu sitokuwa mnafiki kwa nchi yangu. Ninaouwezo wa kubadilisha Uraia lakini sitaki

Picha nayopata juu yako ni unapitia shida sana na mambo hayaendi utakavyo maana mtu huwezi kuwa na hasira bila kusononeka

Ushauri wa bure- sali sana muombe Mungu akubariki na omba usamehewe dhambi zako

I hope hii itasaidia, bahati mbaya experience yako hujawahi kukutana na wa tz wenye pesa I mean pesa na hao wenzako wanaoangalia bei wanakukatisha moyo

As kama unajua kuna business people wa chini na wa juu.usiwe n wasi utakutana na wa juu one day

Unahasira sana na unajigonga kufanya kazi ya utaxi driver inauma ukizingatia gari la mkopo una kulipia

Maisha kama magumu hakuna kitu kama kuwa home sweet home.

Wazee naomba kujua Mercedec Benz Kompressor zinatengenezwa wapi? Asili yake ni wapi? Germany au Korea?

hivi hii gari huko ni kiasi gani?

ni discovery 4

naskia gari kutoka SA huwezi kupata spares kokote si dubai, si UK, si japan bali ni south africa only..je ni kweli?

Kaka gari ulilouliza Dsicover 4 kwa mandela linauzwa Rand 635,995 ambazo kwa hela za madafu ni sawaa na Tshs 127,199,000/= waweza kujilipua tu kiongozi !! then procedures na kila kitu usijali tuna wadogo zetu wanakulia kule tutakuunganisha tu!!!

Kuhusu spareparts ni kweli model za bondeni unatakiwa kuagiza spare huko huko haziingiliani, sawa na magari ya Uingereza spare nyingi zinasumbua hata viescudo vya uingereza ikifa control unit utacheki picha!!!!lakini haisumbui kwani SA kwa sasa ni sawa na kutoka Dar kwenda Mbarali! you can manage hasa kwa kuzingatia kuwa tayari bidhaa zao wameuza sana Zambia! hivyo Lusaka tu zinaanza kupatikana spare ingawa kwa dude kama hilo ni mpaka south kaka. nikuache na msamiati wa kizulu!!

SIKUSEVENZA!!!

Mimi sio Kazi yangu kuwatembeza Watu huku, ila nafanya kwa Washikaji na wala sidai ada yoyote. Ila mnakuwa wagumu kuweka Mafuta kwenye gari hilo ndio tatizo la watanzania wakija huku kibiashara wanapenda dezo utafikiri mpo kwenu. wabahili mno pesa mnazichungulia mno na nyinyi
kwenye matumizi hakuna cha ushikaji... acha upendo wa mshumaa... wape uso wa mbuzi wachangie..!!!!

Mimi sio Kazi yangu kuwatembeza Watu huku, ila nafanya kwa Washikaji na wala sidai ada yoyote. Ila mnakuwa wagumu kuweka Mafuta kwenye gari hilo ndio tatizo la watanzania wakija huku kibiashara wanapenda dezo utafikiri mpo kwenu. wabahili mno pesa mnazichungulia mno na nyinyi
Punguza hasira mkuu. Unalalamika sana hadi umepitiliza

nawashukuru wote mliotoa information kuhusu magari ya south africa wengi tulikuwa tunaogopa kuyanunua,

I dont care what car do you drive Bro, Hapa tunazungumzia ubora wa gari na bei. Gari ya UK na ya South zinaweza zikawa same price au ya South Africa kuwa bei ipo juu kuliko UK hata kama is the same year, same Toyota, Nissan Navara au gari yoyote. Gari za South zinasifika kwa Ubora na uimara ndio maana wanasoko kubwa Nje na wala hawategemei masoko ya Africa kwa uuzaji wa Magari yao. Go and google get inf bro
Magari ya south hakuna ubora wala nini unazani ni wewe tu umekaa south..... mimi nilikaa huko magari yao ni beei juu sana na milage ni kamazimeenda mpaka kwenye moon na zikagonga coment kazaa na zikarudi. Sibora uende japani au uarabuni ukapate kitu na milage kidogo na bado kinanikia upya. Wewe unazania siye twapenda kununua vya japani badala ya kuchanja mbuga mpaka south. Anyway hoa wasouth wanajaribu kulinda soko lao la ndani kwavile wanaviwanda vya magari na hawawezi kushindana na wajap wapo mbali kinoma. Kama wasouth wangekuwa na quality basi magari yao yangejaa bongo kama visuper maket vyao uchwara wanavyofungua hulu bongo na kutulia hela.

Back
Top Bottom