Car from south africa

Kamongo

JF-Expert Member
Mar 20, 2009
1,947
2,054
Nimatumaini yangu wote ni wazima, mimi natakajua kuhusu magari kutoka south africa,kwa nini hapa tanzania kuna magari machache kutoka south africa,watu wengi wanapenda kununua magari kutoka Dubai au Japan, je magari aina ya Toyota kutoka south africa je hayana ubora au ni bei juu sana yeyote mwenyekufahamu kuhusu magari yanayotengenezwa nchini humo atujuze
 
nimatumaini yangu wote ni wazima, mimi natakajua kuhusu magari kutoka south africa,kwa nini hapa tanzania kuna magari machache kutoka south africa,watu wengi wanapenda kununua magari kutoka dubai au japan, je magari aina ya toyota kutoka south africa je hayana ubora au ni bei juu sana yeyote mwenyekufahamu kuhusu magari yanayotengenezwa nchini humo atujuze
ze leita izi ze kesi
 
hapo mkuu ishu ni bei..si unajua wenzetu hakuna ma-used kama tunayotoa japani na dubai...ila kama unataka kufungua yard ya magari ya south afrika changamoto kubwa ndo hiyooo
 
Gari za South Africa ni ghali na zina ubora kuliko mlizozowea kununua Dubai au Japan. Vitu vingi kutoka South Africa Watanzania hamuwezi kuvinunua. ni Bora muende huko huko Dubai na Japan. vitu vya South Africa mtuachieni sisi tuliozea ndio tunaoujua ubora wake. Nyinyi chungulieni hizo pesa zenu mmezowea vya kunyonga vya kuchinja hamuviwezi
 
mkuu.., kumbe wewe ni mzulu
 
hapo mkuu ishu ni bei..si unajua wenzetu hakuna ma-used kama tunayotoa japani na dubai...ila kama unataka kufungua yard ya magari ya south afrika changamoto kubwa ndo hiyooo

Used zipo lakini Bei imesimama na ukumbuke pia Gari za South Africa zinasoko sana Ulaya na North & South America
 
mkuu.., kumbe wewe ni mzulu

Atuachie AVATAR yet atumie hii........

za$saa.gif
 
gari zaoo ni madhubuti sana na bei pia ni juu sana

Hivi nyinyi huko Tanzania kila kitu kinawashinda nini mnaweza? Umeme, Maji, Viwanda vyote mmeua nini mnachoweza? ufisadi tu ndio mmeuweka mbele. Mnakuwa wagumu mpaka kwenye matumizi kila sehemu ni kuchakachua. Ndio maana zile magari 100 ya CCM ziliwashinda kununua huku mkakimbilia Dubai. milifikiria huku ni sawa na Dubai kuja kubagain, huku hakuna bagain ukiona kitu nunua au acha
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Kwani mbona ya uingereza na ujerumani na marekani pia ni machache.............
 
Kwani mbona ya uingereza na ujerumani na marekani pia ni machache.............

Tatizo lenu Watanzania hamuwezi kununua vitu Quality, Hakuna hata mfanyabiasha wa Kitanzania anayekuja kununua Vitu South Africa hao wote wanaojifanya wana pesa huko kwenu wakija huku wanakimbia. Mnakuja huku kununua vitu halafu mkizigeuza pesa za huku na mkilinganisha na zenu mnaona ghali. Mkuja huku mnatusumbua kuwatembeza halafu hamnunui vitu mnalia tu kazi kusema bora Dubai
 
<b>Tatizo lenu Watanzania hamuwezi kununua vitu Quality, Hakuna hata mfanyabiasha wa Kitanzania anayekuja kununua Vitu South Africa hao wote wanaojifanya wana pesa huko kwenu wakija huku wanakimbia. Mnakuja huku kununua vitu halafu mkizigeuza pesa za huku na mkilinganisha na zenu mnaona ghali. Mkuja huku mnatusumbua kuwatembeza halafu hamnunui vitu mnalia tu kazi kusema bora Dubai</b>
<br />
<br />
je gari za japan zinapatikana na bei yake ikoje
 
Tatizo lenu Watanzania hamuwezi kununua vitu Quality, Hakuna hata mfanyabiasha wa Kitanzania anayekuja kununua Vitu South Africa hao wote wanaojifanya wana pesa huko kwenu wakija huku wanakimbia. Mnakuja huku kununua vitu halafu mkizigeuza pesa za huku na mkilinganisha na zenu mnaona ghali. Mkuja huku mnatusumbua kuwatembeza halafu hamnunui vitu mnalia tu kazi kusema bora Dubai
RED: hapo ndio kilio chako kilipo.. kwigine koote unapiga kichaka.. weka ada ya kutembezwa..!!
 
<br />
<br />
je gari za japan zinapatikana na bei yake ikoje

Gari za kijapan zipo Durban na bei yake ipo afazali kuliko ya Dubai, na hizo Gari hapa haziruhusiwi kuuzwa hapa South. Wanunuzi wengi ni Wageni una nunua halafu unalipakia kwenye truck linaenda kushushwa mpakani mwa Zambia/Zimbabwe hapo ndipo unaanza kuliendasha mpaka kwenu ukakamuliwe na TRA Vibaka. Ukipitia Botswana hawana Nona unaanzakuliendesha Botswana/South Africa mpaka kwenu. Bei inategemea na gari kama hayo Magari mnayoyapenda bei inaaanzia $ 1500 kwenda mbele. Na yapo mengi huko Durban ila Kaburu akikuona unaendesha hayo Magari hapa anakunyang'anya halafu linaenda kusagwa.
 
RED: hapo ndio kilio chako kilipo.. kwigine koote unapiga kichaka.. weka ada ya kutembezwa..!!

Mimi sio Kazi yangu kuwatembeza Watu huku, ila nafanya kwa Washikaji na wala sidai ada yoyote. Ila mnakuwa wagumu kuweka Mafuta kwenye gari hilo ndio tatizo la watanzania wakija huku kibiashara wanapenda dezo utafikiri mpo kwenu. wabahili mno pesa mnazichungulia mno na nyinyi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom