FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,991
- 47,064
Mara mbili kila mwezi, siku za jumapili panakuwa hamna magari kabisa barabarani ili kuruhusu watu wapate fresha air walau mara mbili kwa mwezi na kujiepusha na mimoshi ya magari
Nimezaliwa Tz na nina family roots hapa, niondoke kisa car freeday wakati ni kitu ambacho hata hapa tunaweza tukakiiga?hamia huko mkuu
Nimezaliwa Tz na nina family roots hapa, niondoke kisa car freeday wakati ni kitu ambacho hata hapa tunaweza tukakiiga?
Karibu Sana. Watu wanakaa mbezi ya kimara wanapga mguu daily temekeSasa kama unakaa mbagala na shughuli posta mjini utapiga mguu
Usafi unaweza kuwa instilled kwenye daily routine za wana mji, mfano ni mambo kama haya ambapo wanaweza wakaruhusu mwendokasi, daladala na Uber au Taxi tu ndio zifanye kazi, jpili 2 kila mweziKama usafi Sio nature yako hauwezi kuiga!
Shida ni mwalimu wako wa kiswahili au ni keypad ya google?Mji bira magari haunogi
Na hapo nimejitaidi sanaShida ni mwalimu wako wa kiswahili au ni keypad ya google?
Atakwambia uendeshe baiskeli.Unatoka Tabata segerea kwenda kazini Bunju kwa miguu nakwambia utatoka jasho la pumb.u mpk litakauka kua chumvi.
Mbagala pekee huwezi imaliza kwa miguu.Kigali padogo Tanzania mfano dar ngumu daladala hawatakubali na raia hawatakubali sababu sehemu nyingi za huduma Kama masoko makubwa Kama ya machinjio ya wanyama ,masoko ya vyakula ,samaki nk yako mbali mbali ambako lazima watu watumie usafiri kwenda,achana safari za watu kwenda hospitali kuona wagonjwa Kama muhimbili,mlongazila nk .Sijaelewa kwa Kigali dar Moshi mwingi uko kwenye kupikia mikaa na Kuni hata uwakwepeshe Moshi wa magari wa kuni na mkaa unawasubiri.Hivi Kigali huwa hawapikii kuni Ni gas na umeme tu? Kuwa kwao shida Ni.moshi was magari tu?
Nadhani baiskeli zinaruhusiwaSasa kama unakaa mbagala na shughuli posta mjini utapiga mguu
Nadhani baiskeli zinaruhusiwaSasa kama unakaa mbagala na shughuli posta mjini utapiga mguu