Car Clearing Costs

Car Clearing Costs

...mkuu "Itumbili" nadha hujasoma maelezo yangu vizuri hapo juu! kuwa; "Import taxes rates "Ya TRA YA MWAKA JANA ILIKUWA HIVI"
"TAX RATES (2012/2013
)"

"(C.C, Import Duty, Excise duty, Extra Depreciation Duty, VAT)
C.C"

"NIMETUMIA VAT RATE% YA MWAKA WA SERIKALI 2012/2013, KABLA YA PUNGUZO YA BAJETI YA MWAKA WA SERIKALI 2013/2014 AMBAYO INA ISHIA MWEZI JULY 2014"

"Kumbuka exchange rate
za BOT zinapanda kila siku"


*kwa hesabu za haraka haraka (assumptions) "bei uliyonunulia JP unazidisha mara mbili" mpaka gari inatembea barabara za Dar! Ndiyo kawaida ya budget plan yangu' mara nyingi ujikuta nina baki na salio ya fuel na service.

mkuu nimeipenda hiyo red
 
Jamanieee asnate mkuu kwa hili, itanisaidia..

do you have any clue regarding other charges yani mm nanataka chaji zingine tofoauti na Kodi

shipping line
port charges
Agency fees (range)
import fees (if any)
registration
plate no... asante sana

Umenunua Ti moja tu,unatafuta ushauri kwenye mitandao,siku ya kuagiza scania 2,utataka kumuona Rais.
 
Anatuzingua huyo!

Why brother!? I real not intending to monk any one here, Nimesema nimepanda calc za kbm it is hassle free in my opinion as his as well!

its okay bro calm down!
 
Umenunua Ti moja tu,unatafuta ushauri kwenye mitandao,siku ya kuagiza scania 2,utataka kumuona Rais.

Mkuu usijali na wala huna haja ya kutoka povu kwa hasira kalm down! kuwa tu mpole kaka wewe uliye na hamer kwani ulizaliwa nayo si uliikuta hapa duniani! na mm pia nimeikuta hapa hapa duniani kwa hiyo hakuna haja kukejeli! uwe na j2 njema!
 
Kodi za nchi hii zinkatisha tamaa sana
unapoagiza gari hakikisha umejiandaa vya kutosha
 
Kwa kuongezea, bei inaweza kushuka kwa maongezi zaidi na afisa wa kodi,usipofanya hivyo kuna uplift itafayika utalipa zaidi ya matarajio yako
...Nakushauri kwanza uingie kwenye Mtandao wa TRA upate idea ya KODI unayopashwa kulipa, na nini unatakiwa ufanye:


*The Import Regulation
Shipping Destination ports
Dar es salaam
*Age restriction
10 years old from the year of manufacture and not first registration.
*For this year cars manufactured from 2003 onwards
Older cars up to 30% of CIF value of damping fees is added to the duty.

==
*Road worthiness Inspection
EEA and JAAI inspection is required *(30% of CIF value fine will be charge if not)
===

Import taxes rates "Ya TRA YA MWAKA JANA ILIKUWA HIVI"
"TAX RATES (2012/2013)"

(C.C, Import Duty, Excise duty, Extra Depreciation Duty, VAT)
C.C 0-1000, Import Duty 25%, -%, Excise duty 20%, VAT20%

C.C 1001-2000, Import Duty 25%, 5%, Excise duty 20%, VAT20%

C.C 2001 and above, Import Duty 25%, 10%, Excise duty 20%, VAT20%

Pick ups, Import Duty 15%, 0%, Excise duty 0%, VAT20%

Trucks (trucks for pulling semi-trailers), Import Duty, 0%, 0%, Excise duty 0%, VAT20%

Buses (from 10 passengers), Import Duty, 25%, 0%, Excise duty 0%, VAT20%

Land cruiser Hard tops carrying from 10 passengers, Import Duty, 25%, 0%, Excise duty 0%, VAT20%


Tax calculator if applicable...
 
Back
Top Bottom