Car alarm and gps vehicle tracker

Car alarm and gps vehicle tracker

Ukiona muuzaji anagoma kutaja bei, jua kwamba anajua fika bei ya bidhaa zake ni zaidi ya bei za soko. ( Ulanguzi uliopitiliza )

Siyo sahihi ni professional approach xyz123.
GPS Service providers in town wao wanauza products zao na services charges na wooote first encounter ranges from 250$ plus each months 15$ service charges
250$+180$= 430$
We go bellow the market price and with no monthly subscriptions.

Free services!

Besides price go lower as you buy more.

We need know what problem the client face XYZ123.

ASANTE
 
Ukiona muuzaji anagoma kutaja bei, jua kwamba anajua fika bei ya bidhaa zake ni zaidi ya bei za soko. ( Ulanguzi uliopitiliza )

Ni uhakika....
Kwa taarifa tu ni competitive market na price bado zipo juu sababu ni operation costs, a lot of overheads!

Karibu saana Afisa!
 
kwenye bodaboda inakuwaje jinsi ya kufanya kazi

kwenye boda boda ni bei poa saana kama gharama zingine zikiwa constant boss unaweza kupata kwa laki mbil na nusu kama una order ya unit atleast tano mkuu @250,000 TZs
 
kwenye boda boda ni bei poa saana kama gharama zingine zikiwa constant boss unaweza kupata kwa laki mbil na nusu kama una order ya unit atleast tano mkuu @250,000 TZs

Hii niliweka mie kwa Jamaa mmoja naitwa Charles ndio waliniwekea.

Halafu wadau mjue kuna features nyingi sana,na sidhani kama naweza kuweka bei zoote hapa.
Nakubaliana na mleta mada kwamba lazima kwanza upate ushauri wa maana hasa.
Unaweza kupewa bei ya unachohitaji bila kujua zaidi ya huduma za ziada katika hilo hilo ombi lako.Na zinatofautiana sana kutokana na muhitaji.
So,nahisi kupigiwa sim ni muhim zaidi ili ajue unataka nini hasa,maana gps na uelewa wa wengi ni tofauti sana,watu wengi wanajua ni ku track gari tu wakati kuna mengi zaid ya hayo
 
Zanzibar Spice sawa sawa kaka ni hivyo...

Uliweka mwaka gani mkubwa
 
Taja bei kwanza

Okay naona nijibu suala la bei hapa :-

GPS Unit category 1 - 300$
GPS Unit category 2 - 250$
GPS Unit Caterory 3 - 200$
GPS Units za pikiki ni 150$

Accessories
Fuel Sensor -160$
Smart phone alarm - 150$

No more payments afterwards.

As soon as you are installed we will create a gps web portal and mobile accounts for your live tracking,all reports will be found over the web portal and settings be done on as well....

Microphone, Camera, na acceossories zingine ndogo bei yake ni bureeee.....
Cha msingin give or a call or text or e mail let us hear your constraints.

Hizo ni fixed retail price....
If a man show up with a lot of handsome ordering he is going enjoy more lower competitive prices in Tanzania

Hizo zote ni retail
 
Hizo ni retail prices...

#xyz123

come see this utoe maoni yako ya ushindani katika soko la Tanzania...
Kama hii si cheap unielezee kidogo nielewe mkuu
 
New! New!

New Released, smartest Security Over Traditional Car Alarms!

Two in one Vehicle GPS system and Car Alarm!

New GPS vehicle tracker that works as an alarm ... A tracker and an alarm;
The system uses Your Smart Phone as a special Identification, as you leave your car automatically the system disable/arm your car and as you approach your car it disarm automatically. ** When in arm state,
the vehicle is in an immobile state;
if any person irregally atempts the following an alert will come to your mobile phone :- 1.Open Doors

2. Ignite the engine even if with legitimate switch.

3. The vehicle being towwed away.

The system is installed with microphone by defaults. .. Mic enables you to hear conversations taking place from your car anywhere any time.

Real time... Free platform... No additional Costs... One time diming..

Contact person:
+255683419417

For inquiries and Price quotations:- info@interactiveittz.com
More details:- Interactive Informatics Co. Limited

Salaam kwenu wakuu...

Kama kuna mtu ametuma e mail na hajapata majibu kutoka kwetu maana yake ni kwamba ameshindwa ku allocate e mail ilipo...

1.Inaezekana anatumia spam filters software so check your filter software

2. E mail imeingia katika folder la spam please do check your spam folder. ..

Otherwise sms kama bado unaona haupati responses. ..

Stay blessed..
 
Asante boss..
Kuna contact hapo tunaweza tukawasiliana kitu tunachofanya ni consultation pia kabla ya kuuza bidhaa na huduma...
Hivyo kwaninj ukose sehemu ya consultation kwa kuona bei na kuchukua hatua ya kujipanga boss...
Tunauza bidhaa tu huduma zoote ni bure boss...

Asante

weka bei wacha maneno mengi?? mambo ya kutafutwa haina maana weke bei hapa maana humu kuna mafundi wengi tujue kama tunakutafuta au tunamshauri mteje tuwe tunajua garama zake.yaani tz tutakuwa mwisho kila siku KWA kila kitu hivi mkuu Hembu angalia hiyo bidhaa unayouza wewe huko KWA wenzetu uone kama wameandika tuwasiliane kama unahitaji??
 
Ukiona muuzaji anagoma kutaja bei, jua kwamba anajua fika bei ya bidhaa zake ni zaidi ya bei za soko. ( Ulanguzi uliopitiliza )

Ngoja mm nimsaidie kuweke bei Ngoja tuingie sokoni tuone wanaiuza bei gani?? haina jinsi maana hata upigaji wenyewe usipojipanga utastukiwa au kupigwa wewe
 
weka bei wacha maneno mengi?? mambo ya kutafutwa haina maana weke bei hapa maana humu kuna mafundi wengi tujue kama tunakutafuta au tunamshauri mteje tuwe tunajua garama zake.yaani tz tutakuwa mwisho kila siku KWA kila kitu hivi mkuu Hembu angalia hiyo bidhaa unayouza wewe huko KWA wenzetu uone kama wameandika tuwasiliane kama unahitaji??

Ha! Ha!
Kweli watanzania tumezoea maneno mengi na lawama na kufanya mambo not in a professional way...

Ukipitia thread na comments zote utaona bei..

Alafu hii ni system kama fundi unafahamu neno system maana yake ni nini?

System is comprised of components....
Components zingine zinakuwa part of the system labda unaaeza husiatake system ifanye vile lakini ifanye hivi itofautiane na hii kwa utendaji lakini same results. ..

Hapo ndiyo maana price is an issues of identifying the constraint a client is facing boss!

Pole kwa usumbufu..
Nimetaja bei katika one of thw reply mkuu LEGE Pitia upya!

Pia sisi tunafanya kazi kwa style ya kujenga urafiki...
Tunataka tusaidie uone thamani ya pesa yako...

Ndiyo maana you need know value not price boss LEGE
 
Bei hizo hapo afisa

#LEGE
 
Attachments

  • 1448386331797.jpg
    1448386331797.jpg
    39 KB · Views: 116
Ngoja mm nimsaidie kuweke bei Ngoja tuingie sokoni tuone wanaiuza bei gani?? haina jinsi maana hata upigaji wenyewe usipojipanga utastukiwa au kupigwa wewe

Ni vyema pia...
Lakini kwangu mimi bei ni value an item holds boss...

Ndiyo maana toyota vitz ni gari brand toyota na landcruiser v8 pia ni gari brand toyota..

Zote zina serve same purpose but different perspective...

Nina uhakika!

Kuwa uhuru boss!
 
Ngoja mm nimsaidie kuweke bei Ngoja tuingie sokoni tuone wanaiuza bei gani?? haina jinsi maana hata upigaji wenyewe usipojipanga utastukiwa au kupigwa wewe

Ushauri tu....
Kwako LEGE uliyepo nyuma ya screen ya smart phone ama pc lugha yako inaonekana upo so irritated....

Kwa taarifa una display personality yako kwa maneno yako....

Any way hii ni biashara halali imesajiliwa na inaendeshwa kwa kufuata taratibu za nchi vigezo na masharti, kama utaongea kuhusu upigaji na kutaka kuchafua brand na business za watu kwa interests zako unazozijua wewe kwa immune ambayo unadhani unayo kuwa nyuma ya pc au a smartphone...

Kuna cyber law ukini offend nafuata taratibu kama vile ambavyo raia mwema yoyote anaweza kufuata taratibu za nchi...

Elezea tu duku duku lako boss!

Sijafurahishwa na kauli yako au maneno yako haya:-

"haina jinsi maana hata upigaji wenyewe usipojipanga utastukiwa au kupigwa wewe"

Are you competitor?
Umekosa falsafa au umeishiwa...
Tafadhali soma vitabu!
 
Blue G meona hii hapa labda itafaa
 
Last edited by a moderator:
New! New!

New Released, smartest Security Over Traditional Car Alarms!

Two in one Vehicle GPS system and Car Alarm!

New GPS vehicle tracker that works as an alarm ... A tracker and an alarm;
The system uses Your Smart Phone as a special Identification, as you leave your car automatically the system disable/arm your car and as you approach your car it disarm automatically.

** When in arm state,
the vehicle is in an immobile state;
if any person irregally atempts the following an alert will come to your mobile phone :-

1.Open Doors

2. Ignite the engine even if with legitimate switch.

3. The vehicle being towwed away.

The system is installed with microphone by defaults. .. Mic enables you to hear conversations taking place from your car anywhere any time.

Real time... Free platform... No additional Costs... One time diming..

Contact person:
+255683419417

For inquiries and Price quotations:- info@interactiveittz.com
More details:- Interactive Informatics Co. Limited

DEAR CUSTOMERS, WE HAVE WIDE RANGE OF PRODUCTS, THAT CAN FIT YOUR SECURITY NEEDS ON VEHICLE, REASON WHY WE DONT NAME PRICE BECAUSE IT NEEDS AN INQUIRY THAT RESULTS TO CONSULTATION SO AS WE CAN DELIVER THE BEST OUT OF OUR BEST THAT SUITS YOU BETTER...

A SERIES OF CATEGORIES, A SERIES OF PRODUCTS AND SERVICES THAT TO NAME A PRICE NEEDS QUOTATION AND OR CATALOGUE!

SORRY FOR INCONVENIENCES IF OCCURED!

SINCERELY!
Consultants Team interactiveittz.com

Blue G
 
Last edited by a moderator:
Huu mfumo ni mzuri saana naunasaidia sana.
Maana mie shuhuda na nimeufunga kwenye Ci Carry vyangu,na bodaboda.

Nitakujaribu mkuu kama nikinunua gari nyingine ili kuona na nyie mpo vipi
Mkuu nisaidie hivyo vifaa ulinunua wapi na bei gani?? Nataka kufunga kwenye bajaji zangu
 
Habari ya kwako boss..
Kwenye boda boda naomba tuwasiliane..
Kwasababu boda boda inafanya kazi kwa muda mrefu saaana ukiringanisha na gari Kwahiyo performance ya system yake lazima iwe kutokana na sifa za ufanisi wa boda boda...
Ni mfumo mwingine toafuti na huu pia bei yake ni rahisi mno..
Utasisimuka.
Naomba tuwasiliane boss
Mkuu mi nataka ya kufunga kwenye bajaji bosi
 
Back
Top Bottom