Caption this!! Askofu Dr. Gwajima, mkewe Grace na Flora Mbasha

Caption this!! Askofu Dr. Gwajima, mkewe Grace na Flora Mbasha

Si ajabu...Hasa ukiwa unafuatilia taarifa za watu maarufu au public figures.Kila mtu atasema lake,ilimradi tu nafsi iridhike.Ukweli ni kwamba,hatujui chochote hapo!.
 
Huogopi jela?ni kosa kutolea picha maelezo yako bila idhini ya mwenye picha

Ukifuatilia vizur utaelewa.huyo niliemquote hakuelewa maana ya mke kuwa ka-supu kuliko flora ndo nikamuelewesha nini kinachomaanishwa.sio kwamba ndo wazo langu.umenipata apo?
 
Back
Top Bottom