Leo Lissu ataanza kufunga.

Leo Lissu ataanza kufunga.

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
4,024
Reaction score
6,789
Rais Samia ana moyo wa jiwe.
Sasa Lissu asipokula chakula leo mpaka tarehe sita November,ataweza kweli kwenda mahakamani kuisikiliza hukumu yake?
Hili nadhani ndio jambo alipokuwa anaongea Askofu Gwajima; kwamba Rais Samia anashauruwa vibaya na kila mtu kuhusu kila kitu.
Sasa kumnyima chakula Lissu jela inaonekana kwamba ni njia ya kumkomesha Lissu
You can have the best Intelligence System.
Lakini kama watu wanakuchukia they will give you advice which is not accurate.
This is heartless behavior.
Of course,wale watu wakiongea carelessly in front of him,Tundu Lissu atakataa wasimletee chakula.
Siyo kama vile kuna mtu yeyote anayekwenda kumshauri Rais.
Wale watu wanaokwenda kuongea na Rais ni wapiga dili tu kama George Soros.
 
We nae mwehu kweli, ameamua mwenyewe kutokula, hajanyimwa chakula. Yaan lisu agome mwenyewe kula alaumiwe Samia. We mjinga kweli
 
Screenshot_20260816-150515~2.png
 
Nikisema ww utakua unatokea sehemu moja inatwa sengerema? Ni sawa tu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
ICC wametulia kwa sasa.
White House wamelegeza masharti.
European Union wanarudisha misaada.
Huu ndio wakati wa kutaka kumchinja Tundu Lissu gerezani?
 
mlitegemea hao?

wazungu amuwajui aisee.

nenda Kongo, Afghan utamjua mzungu ni shetani
 
Back
Top Bottom