Captain Jack Sparrow

Hahahaaa....mkuu king Julian naye ni habari ingine....
Mzee wa happy julianuary..
What is the meaning of julianuary if everyone gets to recieve a present...
jamaa he is full of himself na swagger zake na malice.
 
Hahaha unakumbuka vyema kabisa na kilochofanya mpaka kumwamini sound zake na kufikia kumpa u sheriff ni pale alipo muua yule eagle kibahati.maskini hata silaha yenyewe hajui kushika vizuri hahaha
 
Guards: this part is prohibited from civilians
Capt Jack: Ooh I haven't came across any, but if I see one I will let you know.

Uwa pananichekesha wakati yeye mwenyewe ni civilian
Hahaha wale malofa wawili wakabaki wanashangaaa
 
Guards: this part is prohibited from civilians
Capt Jack: Ooh I haven't came across any, but if I see one I will let you know.

Uwa pananichekesha wakati yeye mwenyewe ni civilian
Sasa huyo Guard mwenyewe ..alikaa vibaya akaibiwa pochi ya ushuru na Jack
 
Sasa huyo Guard mwenyewe ..alikaa vibaya akaibiwa pochi ya ushuru na Jack
Jack mwizi hatari alimpa ela ya ushuru halafu akamuibia pochi.
Jamaa hatumii nguvu nyingi kufanikisha mambo yake halafu jina lake maarufu sana kuwa ni capt jack sparow pirate hatari sasa wakija muona halafu akijitambulisha wanashindwa kumuani mfano mfalme wa uingereza kwenye pirates of the carribean and the fountain of ...
alikuwa haamini kama jamaa ndiye jack sparow
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…