Nilimfahamu Mzee Mazula Kama Mmoja Kati Ya Watu Wacheshi, Watani Na Kubwa Kuliko Yote Msema Ukweli Pasipo Kuogopa Kitu Wala Mtu...inasikitisha Sana Kuondoka Kwake Duniani Mapema Kiasi Hiki Ambapo Watu Kama Yeye Jamii Na Dunia Nzima Inawahitaji Kuleta Mabadiliko Yanayoonekana Na Yatakayokuwa Na Manufaa Makubwa Kwa Vizazi Vijavyo...na Ni Nanai Basi Huyo Mwenye Uwezo Wa Kubadili Mipango Ya Mungu Kati Yetu Sisi Wanadamu???.....kwa Vila Hakuna Na Hatokaa Atoke, Basi Na Jina La Bwana Lihimidiwe Kwa Kila Jema Alitekelezalo Kwa Sisi Waja Wake...ametoa Na Sasa Ametwaa.
Naungana Na Familia Yote, Ndugu, Jamaa Na Marafiki Wa Mzee Mazula Katika Kuomboleza Kifo Cha Mpendwa Wetu...rest In Peace Mzee George Mazula