sasa mtu ana miaka karibu ama zaidi ya 50 atumie condom ya nini tena wakati ameshavuka nusu ya uhai wake na hata akipata hiv anaweza kwenda nao mdogo mdogo hadi hata afike 80.Kama kuna mtu aliamini utetezi wa Komba basi anatakiwa akapimwe akili. Huo ndiyo mchezo wa Komba tangia zamani. Sisi tunaomjua tangia akiwa TOT hizo picha ni trail, mkionyeshwa mkanda mzima mbona mtazimia. Komba ni mchafu wa kupindukia na sidhani kama huwa anatumia kondomu.
Waungwana Salam,
Nayaona makosa mawili hapa.
Hivi ni nani kati yetu aliyemsafi kiasi cha kumsema na kumkejeli mwanaume huyu?? Kweli dhambi haina maana! zile kasoro tunazozitenda kwa siri hatupendi kuona wengine wakizitenda.
- Komba kujihusisha na mapenzi nje ya ndoa, ikiwa alijihusisha maana sinauhakika wala sina utaalam wa kujua
- Kosa la jamii kuendelea kujadili na kuikuza aibu ya mwenzetu. Haitusaidii, haitubadilishi na haitufanyi sisi kuwa watakatifu kuliko yeye
Mzee Komba pole sana Bwana. Kadhambi haka balaaa! Tujitahidi kukakwepa. Najua inawezekana.
Swadaktaaaa,Swala sio nani msafi,muungwana aliyejifunga taulo ikianguka huchuchumaa ili wengine wasimuone utupu.lakini yeye badala ya kukaa kimya akaenda clouds kukanusha ndiomaana mleta mada anatoa ushahidi kuonesha nguo zile nizake na bila shaka yoyote ndiye alipigwa picha na totos
tuletee pichaMbona hamumsemi mwenyekiti wenu alie na vimada kila kona?
Wadau,
Juzi hapa zilisambaa picha tofauti za mheshmiwa huyu akiwa na wadada wawili tofauti katika mionekano ya kuashiria kuna mapenzi baina yao. Kama kawaida ya wanasiasa wengi walivyo waongo, Mheshmiwa huyu alikimbilia Clouds FM kukanusha kuhusika kwake kwenye picha hizo.
Pamoja na sababu zingine, Mheshmiwa huyu alidai kua Picha za Uso/Sura/Kichwa chake zilitumika kuunganisha kwenye kiwiliwili cha mtu mwingine aliekuwepo na huyo dada ili ionekane ni yeye wakati sio kweli.
Sasa hapa chini zimenaswa picha mbalimbali za Mheshmiwa huyu akiwa na Nguo zilezile alizozikataa hapo mwanzo kua sio yeye bali sura ndio ilikua ya kwake.
View attachment 163506
View attachment 163507
Nawasilisha!!
bado zipo picha chafu akiwa na lulu....
Mzee wa mstuniiii! Mimi namshauri aingie mstuni kumsaka aliyepiga hizo picha. Other wise this is the naked truth!Wadau,
Juzi hapa zilisambaa picha tofauti za mheshmiwa huyu akiwa na wadada wawili tofauti katika mionekano ya kuashiria kuna mapenzi baina yao. Kama kawaida ya wanasiasa wengi walivyo waongo, Mheshmiwa huyu alikimbilia Clouds FM kukanusha kuhusika kwake kwenye picha hizo.
Pamoja na sababu zingine, Mheshmiwa huyu alidai kua Picha za Uso/Sura/Kichwa chake zilitumika kuunganisha kwenye kiwiliwili cha mtu mwingine aliekuwepo na huyo dada ili ionekane ni yeye wakati sio kweli.
Sasa hapa chini zimenaswa picha mbalimbali za Mheshmiwa huyu akiwa na Nguo zilezile alizozikataa hapo mwanzo kua sio yeye bali sura ndio ilikua ya kwake.
View attachment 163506
View attachment 163507
Nawasilisha!!
hii ni hatari. napata tabu kuamini ule mwili na umri kwa pamoja na mwili wa lulu na umri wake. AIBU. anyway, thanks mkuu.Lulu wa Kanumba!!