Cape Verde kajua Kutumia AFCON

Kuliko mataifa mengine yote cape Verde itapokea watalii wengi sana kutoka mataifa mbalimbali duniani ambao wataenda kuyaona Yale maua live.

Japo wengi wanawapongeza wa SA kwa ushindi ila wengi wanasikitika kuwapoteza wale warembo kwenye TV zao kuanzia Jana sasa tutaendelea kumuangalia "Mama Joy"wa SA
Nchi yenyewe Ina watu lakini 6 tuu.TV zenyewe Jana zilikuwa na shobo ya kuwaonesha wale mademu kisa shombe shombe
 
Jionee
1200x858-2024-02-04T095152.574-800x529.jpg
 
Waingereza Wala wasingekuwa na maajabu wale mambo ya mapenzi huwa hawahusudu
Wareno ndio funga wale hata Leo Moja ya sifa Yao ni hiyo
Ngono ,starehe n.k angalia Brazil Mozambique na Angola hata kule Guinea kote ye kaacha watu wake
Muingereza kwa miaka ambayo amekaa hapa kabla ya uhuru angekuwa mreno kungekuwa na machotara kibao
 
Yani mpaka nilikuwa sina amani babe akiangalia mechi za Cape Verde, bora wametolewa nina amani sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom