gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,623
Ndo uite makorokoro?Sio ushamba mkuu. Ni machaguo tu. Kama ambavyo Iringa wanakula mbwa lkn sehemu zingine hawali. Akiri yako ndogo sana.
Kweli akili yangu ndogo
Ndo uite makorokoro?Sio ushamba mkuu. Ni machaguo tu. Kama ambavyo Iringa wanakula mbwa lkn sehemu zingine hawali. Akiri yako ndogo sana.
Akiri?Sio ushamba mkuu. Ni machaguo tu. Kama ambavyo Iringa wanakula mbwa lkn sehemu zingine hawali. Akiri yako ndogo sana.
Goddamnit, what kinda people are around ya?ahahha nadhan imekuwa approved dis yr maana ndo naion mno mikonon mwa watu
YeahNdo uite makorokoro?
Kweli akili yangu ndogo
So its a history? Where did ur life go? Aisee, I'm guaranteed kuishi hivi even three lifetimes. Maana hapa nala vyangu n yet am the lastborn n the only male in family which makes me heir to the throne of prof........
Kifupi, kula maisha mama
Msg sent n deliveredAkiri?
Goddamnit, what kinda people are around ya?
Yaan nawataman sana wanang kabla hata siwapata maana sio kwa mafungu haya nliyowawekea kwenye baby accounts, mpaka nahisi kuuguateh teh kula baba ! enjoy to the max ! hayo maisha yana raha yake !lakini huwa yanabadilika somtym ukiwa na familia!
Mkuu hivi vitu vinapatikN hapahapa tanzania yetu ya viwanda?oyooooooooo! mix balimi na chibuku its sooooooooo sweety
HV unajua hata how much worth prawns are?in terms of health nutrients and price?Yeah
Yaan nawataman sana wanang kabla hata siwapata maana sio kwa mafungu haya nliyowawekea kwenye baby accounts, mpaka nahisi kuugua
Usijali ila una passport na green card mama? Nafkiri nkiongela green card unaelewa namaanisha niniuwiiii !aisee !hebu fanya kuoa unialike harusini nisasambue mie
Mkuu hivi vitu vinapatikN hapahapa tanzania yetu ya viwanda?
Usijali ila una passport na green card mama? Nafkiri nkiongela green card unaelewa namaanisha nini
Bado nasimamia msimamo wangu. Thinking capacity yako ni ndogo na hukupaswa hata kuwepo jf. Kwa hyo kwa mawazo yako hizo nutrients zinapatikana kwenye prawns tu!!? Na unadhan dunia hii prawns ndo chakura chenye price ghari zaidi duniani!!?HV unajua hata how much worth prawns are?in terms of health nutrients and price?
Dude kutokujua kwako vitu usilazimishe kua upo smart
Narudia tena ushamba mzigo!
Unaina makorokoro prawns duuu
Sidhan hata kama unajua prawns ni nnBado nasimamia msimamo wangu. Thinking capacity yako ni ndogo na hukupaswa hata kuwepo jf. Kwa hyo kwa mawazo yako hizo nutrients zinapatikana kwenye prawns tu!!? Na unadhan dunia hii prawns ndo chakura chenye price ghari zaidi duniani!!?
Sina muda wa kuendelea kubishana nawe. Mtu mwenyewe unatumia tecnoSidhan hata kama unajua prawns ni nn
Nabishana na mfalme **** hapa
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
mhh mzee wivu au??au wee wa mkoani?Uchafu na sumu tupu!
Msosi wa ukweli huu,yummy umenitamanisha sea food! Jaribu na SALT RESTAURANT nao wana package nzuri.