donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Nianze tu kula hayo makorokoro!!
Mkuu wewe si mpenzi wa seafood??Nianze tu kula hayo makorokoro!!
Mama uko wapi wakat tunatafuna vyetu aisee?yummy! yummy!njoo Heaven Sent
Sasa sumu inatoka wapi mkuu? Btw ununio ndio my hanging place, ila napenda kula seafood pale Cape town fish marketMimi hapa, njoo Ununio unapata moja kwa moja ktk Baharini kwa Wavuvi unachomewa kitu bila ya kuongezewa sumu!
Karibu mkuuchakula kizuri sana,
Mama uko wapi wakat tunatafuna vyetu aisee?
Ndio nn hiko mkuuHakuna kibambara cha mumi hapo!!!
Ndio ma nn hayo?hhahaha mie nimekula masangu leo ga ndengo
Hakuna kibambara cha mumi hapo!!!
Mweeh? Kande??? Like seriously?? Sema dengu nazipenda though kwa wali sio kwa makande kama wapare? Kiruuuuu!!!hahahah kande za dengu