donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
- Thread starter
- #41
Nlivoona tu like yako nikajua ni muambatano na comment. Hahaha, kwani siku hizi hamnaga kupinga urafiki?Daah itabidi niombe undugu na Don
Nlivoona tu like yako nikajua ni muambatano na comment. Hahaha, kwani siku hizi hamnaga kupinga urafiki?Daah itabidi niombe undugu na Don
Haha bado tunapinga, tupinge urafiki basiNlivoona tu like yako nikajua ni muambatano na comment. Hahaha, kwani siku hizi hamnaga kupinga urafiki?
Siku ya kwanza ku peel shrimp ilikuwa kazi kweli kweli,yaani unapeel niyo unakula (huo ni utamaduni wa nchi fulani), ila it was a good experience.Unpeeled shrimp?
Haya tupingeeee, ila MBITIYAZA asiwemo sababu anapenda sana maisha. Yaan hata chicken wings za 30k anaogopaHaha bado tunapinga, tupinge urafiki basi
Haha me sipendi maisha? Tupinge naye tu pia banaHaya tupingeeee, ila MBITIYAZA asiwemo sababu anapenda sana maisha. Yaan hata chicken wings za 30k anaogopa
Daah itabidi niombe undugu na Don
I meant anapenda maisha rahisi, yaan mtu mzima kweli unaendesha katoy kama vitz au ist? Sio jambo jemaHaha me sipendi maisha? Tupinge naye tu pia bana
Haya tupingeeee, ila MBITIYAZA asiwemo sababu anapenda sana maisha. Yaan hata chicken wings za 30k anaogopa
I meant anapenda maisha rahisi, yaan mtu mzima kweli unaendesha katoy kama vitz au ist? Sio jambo jema
I meant anapenda maisha rahisi, yaan mtu mzima kweli unaendesha katoy kama vitz au ist? Sio jambo jema
Hehehe mbona shemejimno tu mi nataman awe shemeji bas!
Hahaa anaingia kwenye gariI meant anapenda maisha rahisi, yaan mtu mzima kweli unaendesha katoy kama vitz au ist? Sio jambo jema
Wengine tunakula tu raw mkuu haina kupeelSiku ya kwanza ku peel shrimp ilikuwa kazi kweli kweli,yaani unapeel niyo unakula (huo ni utamaduni wa nchi fulani), ila it was a good experience.
Mweh? Unaweka petrol au mawese? Buu sita? Sasa mi nkiwasha ikiunguruma dk.10 tu mafuta ya buku sita yamekata. Jamani tujitahidi kumiliki magari na si usafirihahahaha my ribs ! na ninawekaga mwenzako mafuta ya 6000 tu ! yakikata napaki
Usijali tupinge ushemejimno tu mi nataman awe shemeji bas!
Mweh? Unaweka petrol au mawese? Buu sita? Sasa mi nkiwasha ikiunguruma dk.10 tu mafuta ya buku sita yamekata. Jamani tujitahidi kumiliki magari na si usafiri
Cement ya nn? Bado unajenga tuu? Yaan inamaana haumiliki at least nyumba 3 hapa mjini? Unaishije sasa?ahhahahahahhaah ! nahuku hyo 30k mie napata mifuko mi3 ya cement ! asalaale
Umeona eeeh? Yaan kama unaingia kwenye kibanda cha kitubioHahaa anaingia kwenye gari
Usijali tupinge ushemeji
Cement ya nn? Bado unajenga tuu? Yaan inamaana haumiliki at least nyumba 3 hapa mjini? Unaishije sasa?