kiumbe kipya
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 2,831
- 1,304
jamaa inaonekana hata sea food haelewi ni nini?
jamaa inaonekana hata sea food haelewi ni nini?
Kweli kabisa mkuu, mashikolo magenijamaa inaonekana hata sea food haelewi ni nini?
Saww, ni kipenda rohoMi napenda zaidi Gogogo na Nembe
Wamkoani probablymhh mzee wivu au??au wee wa mkoani?
Aisee nitajaribu mkuu naomba location yaoMsosi wa ukweli huu,yummy umenitamanisha sea food! Jaribu na SALT RESTAURANT nao wana package nzuri.
wako hapa City Mall,karibu na kituo cha mwendokasi DIT, Nadhani ni ghorofa no2 au 3.Aisee nitajaribu mkuu naomba location yao
I know city mall, nitaenda baadae. I like good foodwako hapa City Mall,karibu na kituo cha mwendokasi DIT, Nadhani ni ghorofa no2 au 3.
Sawa mkuu ukienda usisahau kutupia na huku...huo utamuI know city mall, nitaenda baadae. I like good food
Usijali mkuuSawa mkuu ukienda usisahau kutupia na huku...huo utamu
Kweli mkuuMkuu hivi vitu ingakuwa vizuri ungetupia kwenye uzi wetu pendwa[emoji116]
Uzi wa vyakula tu