Cape town fish market...!!!

Cape town fish market...!!!

haya shem !mie najua mashemeji huwa tunapewa ofa sana thts y nakazania nibase kwenye ushemeji !siku naibuka dar walah BALIMI KUBWA ZITANIKOMAAAAAAAAAAAAA!
Ukiwa shemeji yangu, first rule you need to learn to be classic. Sasa unapotaja balimi tena kwa herufi kubwa unaniabisha kwa baadhi ya watu tunaofahamiana nao hapa. Wataanza hoji don nawe umekua mteja wa balimi? Bas angalau windhoek au Heineken kidogo ili usinitie aibu
 
Mbiti mchukue huyo ndugu yako khaa

nina cheka mno jaman !i rem na mie age hizo nilikua na rafiki angu tunatabia za tambo kama hizo !hahaha aise tukienda bar tunamwambia meneja wa bar atupe ulinzi, na tunamkabidhi mikoba ! mhudumu akija kuchukua pesa tunaita hivi "mlinziiiii kuja hapa kutulinda !khaa !hahahaha dah was soo funny ! mkiingia kwenye daladala mnamuuliza konda had nauli wanalipaje !hahaha ova tumetoka abroad !dah ujana maji ya moto aisee
 
Hhahaha ndo ulikuwa mtundu hivyo?
 
Ukiwa shemeji yangu, first rule you need to learn to be classic. Sasa unapotaja balimi tena kwa herufi kubwa unaniabisha kwa baadhi ya watu tunaofahamiana nao hapa. Wataanza hoji don nawe umekua mteja wa balimi? Bas angalau windhoek au Heineken kidogo ili usinitie aibu

ahahha nannimejua sana kutaja balimi ninkukuabishia !hehehe !aic mbn classic! yeah nitaanza jifunza wondhoek na heinken ! zikichanganyia namix na balimi bana !hahahahahhhaha
 
Umenikumbusha mitaa yangu ya zamani nikiwa Baharia: Mitchell's Plain, Belliville, Athlone, Surrey Estate, Mowbrey......! Shopping Elite Supermarket! Daaah, Maisha ya ubaharia yalikuwa na raha zake!
 
Don unaniua mie hku jaman !khaaa!inauma sana jaman !haya maisha haya !
Sasa mkuu, mbona umechelewa maisha?? Sija reach thirty something tayari I own three houses ambazo ninazirent (apart) from the one, am living in. Ndio maana sometimes nashinda naangalia cooking tutorials youtube najifunza kupika
 
nina cheka mno jaman !i rem na mie age hizo nilikua na rafiki angu tunatabia za tambo kama hizo !hahaha aise tukienda bar tunamwambia meneja wa bar atupe ulinzi, na tunamkabidhi mikoba ! mhudumu akija kuchukua pesa tunaita hivi "mlinziiiii kuja hapa kutulinda !khaa !hahahaha dah was soo funny ! mkiingia kwenye daladala mnamuuliza konda had nauli wanalipaje !hahaha ova tumetoka abroad !dah ujana maji ya moto aisee
So its a history? Where did ur life go? Aisee, I'm guaranteed kuishi hivi even three lifetimes. Maana hapa nala vyangu n yet am the lastborn n the only male in family which makes me heir to the throne of prof........
Kifupi, kula maisha mama
 
ahahha nannimejua sana kutaja balimi ninkukuabishia !hehehe !aic mbn classic! yeah nitaanza jifunza wondhoek na heinken ! zikichanganyia namix na balimi bana !hahahahahhhaha
Aisee usitaje basi hiyo local brew, kwanza is it tbs approved?
 
Umenikumbusha mitaa yangu ya zamani nikiwa Baharia: Mitchell's Plain, Belliville, Athlone, Surrey Estate, Mowbrey......! Shopping Elite Supermarket! Daaah, Maisha ya ubaharia yalikuwa na raha zake!
Mkuu umekula sana maisha, surrey estate unapapata?
 
Back
Top Bottom