Nikivuta ninakuwa huru, hakuna mawazo yanayonisumbua na ninakuwa na furaha nyingi...kuna kipindi nilipitia frustrations na depression za maisha ila nilivyogundua manufaa ya mmea naweza kusema ndio kuliokoa maisha yanguHow do you feel unapovuta Gambe? Ndugu yangu alikuwa Mkuu sana Polisi na alikuwa anavuta bangi bila watu kujua, Mtu aliyeniambia nilishangaa sana amejuaje sie hatujui, Sikutegemea.
YeahBangi si kama watu wengi wanavyo itafsir, na pia haina addiction kama wengi wanavyo dhani.
Ina virutubisho vikuu viwili ambayo ni THC na CBD. Hivi ni virutubisho muhimu kama vile tunavyovitafuta katika matunda. Lakini THC na CBD inaenda kwenye Pineal Gland, ambayo ni sehemu ya ubongo inayojihusisha na Imagination.
So unapovuta itategemea unawaza nini, na nini kimetawala fikra zako na kuenda kuamplfy. Ukiwa happy utakuwa happy zaidi, ukiwa na huzuni utahuzunika zaidi, hii ni kwa kila mahali ambapo fikra yako itaenda.
hahahahahaMbona Alikiba anakula mjani na bado anaimba vizuri tu na katoa album kali...
Ilaa yule mzee ilikua inamfanya achukue maamuzi ya ajabu ya kuigharimu nchi.. Na kuna dogo mmoja hapa akiwaga mtingo akija kistone wote anatuonaga kama sisimizi tu afu toto la 2000's
View attachment 2004768
Hahhaa... Dah kumbe mkuu una playlist kubwa, Muddy Waters muziki wake classic sana 🔥🔥🔥Smoke Buddha- Redman, Muddy Waters album
Huu ni muziki wa aina yake, muziki unaotukumbusha black jinsi gani tuko blessed. Hawa watu walikuwa wanafanya real music. Itabidi hata tufungue thread special kwa nyimbo hiz aisee. Unamsikiliza na Aretha Franklin?!Mkuu unamfahamu Muddy Waters?, ha ha haa.
Huwa naamini watu wachache sana wanazielewa nyimbo hizo. Hongera
Sent from my SM-N916S using JamiiForums mobile app
Ila bange kwa milungi inasubilinipo jiji la mwanza kikazi. leo nimevuta bangi yangu huku nikitazama view nzuri ya ziwa victoria. stimu ya bangi raha sana asikwambie mtu.
View attachment 2005585
Usivute bang kwenye vijiwe wala usivute bang kwa kujionesha, wala usipende kuvuta za kugongea. Utayaepuka haya yoteMateja wengi walianza na kuvuta bangi co ukianza kuvuta bangi upo kwenye Atari kubwa ya kutumia masembe 75% ya wauza bangi wanauza masembe pia sio rahisi mvuta bangi kukimbia mtego wa sembe wachache Sana walianza kuvuta bangi na kumaliza na bangi ila wengi wanaanza na bangi na kumaliza na sembe be carefully na brother wangu yupo soba Hadi Leo hii
Tetra hydrocannabinolJe utachukuliaje wewe (mwanaume/mume) ukigunda mkeo anavuta bangi? Au wewe (mwanamke/mke) ukigundua mmeo anavuta bangi?
Inakuaje kuna watu wanafanya kazi nzuri kabisa managers, engineers, doctors etc na wanavuta bangi na wala hawafanyi vitu vibaya kama wengine wa mitaani wanavyochukuliwa? Inakuaje bangi hiyohiyo inakuwa na matokeo tofauti kwa watu tofauti?
Sidhani kama bangi ni mbaya, ila pale inapotumika na mtu ambaye tayari ana mawazo mabaya au tabia mbaya ndipo inachochea.
Sijawahi vuta bangi lakini natamani walau niionje nione how high people get, sijawahi tumia kilevi chochote lakini siku nikianza kutumia basi iwe BANGI!
Mbona ni kawaida wadada kunywa pombe tena zile kali lakini haistaajabishi? Ila mimi leo nikisema navuta bangi basi nitaonekana muhuni sana..
I WISH ILA NAOGOPA outcome yake kwangu itakuaje na je nitakuwa addicted? And to my side nitakuwa sawa kabisa mume wangu akiwa anavuta bangi BUT asiwe na uhuni.
Naombeni mitazamo yenu.
View attachment 2004601