Candidates walio teuliwa - Manispaa

Candidates walio teuliwa - Manispaa

Movado

Senior Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
105
Reaction score
28
Habari wadau,

Nilikuwa ughaibuni mudaa wa miezi 6. Nimerudi jana, naomba msaada kufahamu kama uchaguzi wa manispaa umeshafanyika!? Na kama tayare, waheshimiwa ni kina nani! Nina shida na manispaa ya Ilala ambayo previously alikuwa ni Bwana Slaa, je amefaulu uchaguzi? Na kama sio, nani ameshika nafasi yake.

Natanguliza shukrani kwa dhati, ahsanteni.
 
Wewe ulikuwa shimoni chini ya kifusi na sio ughaibuni!
 
Habari wadau,

Nilikuwa ughaibuni mudaa wa miezi 6. Nimerudi jana, naomba msaada kufahamu kama uchaguzi wa manispaa umeshafanyika!? Na kama tayare, waheshimiwa ni kina nani! Nina shida na manispaa ya Ilala ambayo previously alikuwa ni Bwana Slaa, je amefaulu uchaguzi? Na kama sio, nani ameshika nafasi yake.

Natanguliza shukrani kwa dhati, ahsanteni.
Ughaibuni wapi hakuna internet?
 
Wewe unatokea kipwimpili hakuna network wala internet
 
Habari wadau,

Nilikuwa ughaibuni mudaa wa miezi 6. Nimerudi jana, naomba msaada kufahamu kama uchaguzi wa manispaa umeshafanyika!? Na kama tayare, waheshimiwa ni kina nani! Nina shida na manispaa ya Ilala ambayo previously alikuwa ni Bwana Slaa, je amefaulu uchaguzi? Na kama sio, nani ameshika nafasi yake.

Natanguliza shukrani kwa dhati, ahsanteni.
Kifup Dar sasa inaitwa Ukawa city!! Na huyo slaa amekuwa mpambe wa Mtoto wa factjet kwa sasa
 
Back
Top Bottom