Habari wadau,
Nilikuwa ughaibuni mudaa wa miezi 6. Nimerudi jana, naomba msaada kufahamu kama uchaguzi wa manispaa umeshafanyika!? Na kama tayare, waheshimiwa ni kina nani! Nina shida na manispaa ya Ilala ambayo previously alikuwa ni Bwana Slaa, je amefaulu uchaguzi? Na kama sio, nani ameshika nafasi yake.
Natanguliza shukrani kwa dhati, ahsanteni.