Canal Decorder

Canal Decorder

Joined
Apr 24, 2018
Posts
1
Reaction score
1
Wadau Decorder yangu ya CANAL imekata channel zote za mpira 12, 13 na 14 hata 112, 113. Wakala aliyeniunganishia ni wa Burundi ameshindwa kunisaidia anadai aki"refresh" mashine yake inadaiwa ilipe 21,000/!! Hapa nifanyeje ili nione fainali maana nililipa tarehe 3/5 na mwezi haujaisha?
 
Vp Umefanikiwa ku sort issue yako, Natakq Kununua Canal sijui bei zake zikoje ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi wakala wake hakuna aliyepo Dar Arusha au Mwanza? ni burundi tu?
 
Back
Top Bottom