Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,611
- 5,167
Bado miaka 3 ongeza na mingine yakwake ahamie Canada afanye kazi ili awe financially stable kuweza kuwasponsor familia yake ( affidavit of support).Mkuuu si kweli kwamba mke lazima awe raia ndo mtoto apewe passport.
Kwa uzoefu wangu, mtoto wa kwanza (mvulana) amezaliwa Tanzania na wa pili (msichana) amezaliwa Canada na ni raia.
Kwa sheria za Canada hata kama wazazi wote si raia mtoto anayezakiwa ni raia kama ilivyokuwa kwa case yangu.
Mimi nilienda kwa njia ya kusoma hivyo baada ya mimi kutangulia kwa miezi sita niliwafanyia mpango mke na mtoto kutoka Tanzania waje kunisalimia na walipofika kule tuliongeza muda wa visa na hadi tulipohakikisha tunapata mtoto kule.
Jambo la msingi ni wewe kuingia Canada kihalali na kuishi kihalali na kuna njia nyingi ila mjia nzuri ni kusoma kwani tourist visa itakuwa chini ya miezi sita na utahitaji kuthibitisha una fedha za kutosha muda wote ukiwa kule.
Pia kama hujaoa au kuolewa mwanya mkubwa ni kumpata partner mcanada hii hasa kama wewe mwenyewe unataka ukazi wa kudumu na hatimaye uraia. Unatafuta partner wa kicanada unaoa au kuolew naye hata kama ni fake marriage ila ukifika kule unapewa permanent residence (ukazi wa kudumu) na baada ya hapo unaweza kutoa talaka na kuendelea kivyako hadi kupata citizenship uraia. Wenzetu west afrika ndo zao.
Kuhusu kwenda Canada issue kubwa ni kupata visa hapo ndo wapo makini sana na lazima ujipange hasa ndo maana kwenda shule ndo njia rahic.
Mimi nilisharudi na mwanangu naishi naye Tz na ana passport na kama sheria hazitabadilika akifikisha miaka 18 anaruhusiwa kuwapa wazazi uraia na kwa sasa amebakisha miaka 3 nami anipe uraia then tuhamie wote as family huko.
Pia huwa najitahidi kila mwaka kwenda kutembea ni nchi nzuri isiyo na ubaguzi.
Wengine wenye uzoefu wataongeza na kushauri vizuri.
NB: life ya kule lazima ujipange lazima ujue kufanya kazi, kuna kitu kinaitwa bills ndo utakifahamu vizuri na huku Afrika kuna kitu kinaitwa fursa ndo zimejaa.
Wazo zuri mkuu na pia ndo wajibu wangu kama mzazi.Bado miaka 3 ongeza na mingine yakwake ahamie Canada afanye kazi ili awe financially stable kuweza kuwasponsor familia yake ( affidavit of support).
Hivi kumbe ubalozi wetu upo maeneo hayo? Sikujua bhana!!Hhhh,wazee wa yes wanasema eeh eeh.
Delta ya kule karbu na ubalozi wetu chief..km pale patamu kwel,
4/5 star ile lazima ujione upo pepo ndgo hhh kidding
Huu ndiyo ukweli. Nakazia.Hahahaha mbona unataka kupasuka mkuu nasema hivi huyo bibie na tumbo lake haendi popote tunaelewana !!
Mji mzuri sana huu jamaniHhhh,wazee wa yes wanasema eeh eeh.
Delta ya kule karbu na ubalozi wetu chief..km pale patamu kwel,
4/5 star ile lazima ujione upo pepo ndgo hhh kidding
Swadakta mkuu ndo yenywe..Mji mzuri sana huu jamaniView attachment 1146910
Hao wajinga Wako kibao hapo Toronto maeneo ya Brampton na Scarborough,Pomoja wameishi hapo muda mrefu tabia zao hazibadiliki,wachafu,wabaguzi,ukwepaji kodiToronto kuna wahindi wengi sana pale nilikwenda mpaka wafanyakazi wa hotelini wadosi.
Ndukiiiii πββοΈπββοΈπββοΈ
Kama Magu kaona Dsm mambo hayaendi. Akasema sio kesi, ngoja niingie Chato.If things aren't working were you are move, you are not a tree!
πππππ sasa kumbe jeKama Magu kaona Dsm mambo hayaendi. Akasema sio kesi, ngoja niingie Chato.
Pardon me,i texted you inbox my friendOttawa = Orrawa (wanatamka wenyewe) hahaha...nililala Delta Hotel hapo Orrawa
Wakati wa summer, ni mji mtamu hataree yaan
Kaka umesema ukweli kabisa kama hujasoma vyuo vya Canada kupata permanent job ni ngumu sana,pia kuna kitu kinaitwa Canadian experience,hiyo nchi sana ila watu wameshakariri huwaambii kitu,USA,Australia and UK ni bora zaidiFYI.. huko kote nimeshakanyaga kwa kidole Cha gumba!! Niamini Kama hujasoma kwao na kuwa na vyeti vyao hususan..utaishia kazi ngumu zisizo pungua MaSAA 16 ili uweze kumudu maisha!!
Na Saa 4 zitakuwa ktk usafiri wa kwenda na kurudi kazini ..utabakiwa na Saa 4 tu!! Uweze kulsla na kujipikia na kujitunza NK nk!!
2nd Option :- Kama una uzoefu na ujuzi wa kazi za mkono (skill work) basi utapunguza Saa 5 ktk mfumo huo hapo juu !!
Good luck....
Njia zipo nyingi !!
Shukran....Kaka umesema ukweli kabisa kama hujasoma vyuo vya Canada kupata permanent job ni ngumu sana,pia kuna kitu kinaitwa Canadian experience,hiyo nchi sana ila watu wameshakariri huwaambii kitu,USA,Australia and UK ni bora zaidi
Lengo lako ni utaifa wa mtoto wenu wenu uwe ni Mtanada!!Umofia kwenu.
Wazoefu tupeane uzoefu.
Nataka nitimbe na wife Canada na wife akajifungulie mtoto huko tupate passport ya mtoto Canada.
Wanaoishi Canada au wenye uzoefu na njia hii nipeni mawazo au uzoefu wenu.
Changamoto ziko wapi before and after.
Nawasilisha
Mkuuu si kweli kwamba mke lazima awe raia ndo mtoto apewe passport.