Canada Canada Canada

Mimi nataka kusepa kiukwel mkuu,bongo ishanichosha kiukwel

Nipe mbinu
 
Mkuu mi wala si gamble hapo. Mtoto akishapata mambo akifikisha 18 mimi sasa ntaamua nimjoin au vepe. Nipe mchongo wapi apartment naweza kupata ya Ku rent for 2 months kwa bei reasonable. Au ushauri please kwa accommodation two months.
Mkuu inategemea na mji unaotaka kwenda kuishi, mfano apartment za Ontario mjini zipo bei juu lakini usafiri wa treni na mabasi yapo kila wakati. Ukitoka nje ya mji bei za apartment rahisi ila usafiri uwe nao wako(umiliki gari). Njia rahisi zaidi ya yote ukifika airport omba ukimbizi utapewa room ya hoteli kwa mwezi hadi miezi 3. Baadae utapatiwa nyumba/apartment na kesi yako ya ukimbizi inaendelea, na ukitaka kwenda shule na matibabu bure. Sina uhakika lakini nadhani hukupatia hela ya matumizi kama wewe,mkeo na mtoto mtarajiwa. Na kesi ya ukimbizi inaweza kwenda kwa miaka 2 hadi 5, kwahio naona bora ujipange na kuomba ukimbizi.

Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Mkuu nisamehe tu hapo nilikuwa nishavuta bangii🀣

Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
Sipati picha. Unamuacha wife amelala na unachepuka kwenda kupata Moshi? Leo uko lindo gani
 
Sipati picha. Unamuacha wife amelala na unachepuka kwenda kupata Moshi? Leo uko lindo gani
Mkuu sina mke na sina lindo kwasasa nipo nchi za ulaya kwa vacation tu.

Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Mimi nataka kusepa kiukwel mkuu,bongo ishanichosha kiukwel

Nipe mbinu
Kusepa Ndg NI Rahisi!!
Nini sabb za kusepa ? Nini sbb za kuchosha? (Licha fursa zote hizi nchini)
Jee upo hapa na family?
Kwanza tafakari haya!!
 
Unataka kumpandikiza uje ule matunda yako siku za baadaye
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚watoto bhana ni kuwaombea kwa Mungu waje wa kusaidie tu ukizeeka maana mifano hai tunaiona watoto wanavyotelekeza wazazi wao.
Hasa sisi wababa watoto wakike wanatu diss kweli tunapozeeka. Wanakua Karibu na mama zao.
 
Mkuu mi wala si gamble hapo. Mtoto akishapata mambo akifikisha 18 mimi sasa ntaamua nimjoin au vepe. Nipe mchongo wapi apartment naweza kupata ya Ku rent for 2 months kwa bei reasonable. Au ushauri please kwa accommodation two months.
Ushauri wangu ingia webbya zumper au rentcafe,uchague inayokufaa kwa bei reasonable uwezo wako..
 
Ottawa = Orrawa (wanatamka wenyewe) hahaha...nililala Delta Hotel hapo Orrawa

Wakati wa summer, ni mji mtamu hataree yaan
Hhhh,wazee wa yes wanasema eeh eeh.
Delta ya kule karbu na ubalozi wetu chief..km pale patamu kwel,
4/5 star ile lazima ujione upo pepo ndgo hhh kidding
 
Dereva wa lorry noma. Hata muda wa kuchimba dawa hatupi. Yeye ni mbele kwa mbele tu.
Hahaha dawa utachimba ukishafika mwisho wa safari, sahivi ni mbele kwa mbele πŸ˜‚ πŸ˜‚.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…