life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Mmmmmh!! Nisije funguliwa kesi ya kusafirisha watu!! Ha ha ha ... Kwa sbb hapa wewe na mkeo na katoto mnahitajika sana?!!?Sawa mk
ππππ mkuu. Tafadhali nipe ABC sasa hivi nijipange. Inbox au mwaga hapa km hutsjali. Nijue tu in advance
AbsolutelyKweli ??!!
FYI.. huko kote nimeshakanyaga kwa kidole Cha gumba!! Niamini Kama hujasoma kwao na kuwa na vyeti vyao hususan..utaishia kazi ngumu zisizo pungua MaSAA 16 ili uweze kumudu maisha!!Nimesoma mpaka baasi. Kidding. Degree ya kudesa ππ
Safi mkuu. Asante kwa analysis.FYI.. huko kote nimeshakanyaga kwa kidole Cha gumba!! Niamini Kama hujasoma kwao na kuwa na vyeti vyao hususan..utaishia kazi ngumu zisizo pungua MaSAA 16 ili uweze kumudu maisha!!
Na Saa 4 zitakuwa ktk usafiri wa kwenda na kurudi kazini ..utabakiwa na Saa 4 tu!! Uweze kulsla na kujipikia na kujitunza NK nk!!
2nd Option :- Kama una uzoefu na ujuzi wa kazi za mkono (skill work) basi utapunguza Saa 5 ktk mfumo huo hapo juu !!
Good luck....
Njia zipo nyingi !!
Hawezi pewa uraia wa Canada, labda mkeo awe ni wa hukoEeeeh
Ikikarobia bado 2 months labda nitimbe. Anyways nipe hoja mkuu.
OMG !! Utakuwa umekosea Sana au kuboronga haswa..! Kusikotabirika!! why(?)... Inshort kupata kitabu Chao NI rahisi ila KERO na adha yao NI endelevu...(uliza waliyo hodhi PP zao)?Safi mkuu. Asante kwa analysis.
Mimi actually ni just for passport tu. To start with na mwanangu mpya. Kazi mimi ninayo na sitaiacha. Siyo Canada lkn. Mimi itakua tu ikikaribia Ku expire naenda ku renew. Nikitaka kutembea naenda. Ila nna sehem yangu elsewhere. You get ma point
Sasa wewe unanifinyanga kabisa.OMG !! Utakuwa umekosea Sana au kuboronga haswa..! Kusikotabirika!! why(?)... Inshort kupata kitabu Chao NI rahisi ila KERO na adha yao NI endelevu...(uliza waliyo hodhi PP zao)?
KODI zao zitakusubiria na kukufuatilia kipato chako!!
Kuhusu mwanao ..unacheza kamari isiyo na tija!!
(Huyo atakuwa wako au mwana wa Malikia)?
Asije kukukana au akutelekeze !!!? Think
Mkuu kule nijuavyo Kama atakwenda na ujauzito muda ukikaribia atarudishwa ajifungulie bongo then ndio afanye mpango wa kurudi tena kule
Nondo za maana. Ngoja niziingilie prepo usiku huu.hapana, mama anaruhusiwa kuzalia kule kule. https://visaguide.world/canada-visa/temporary/temporary-resident/giving-birth/
wahuni wengi wanaingia kwa gia hio,Aya weeeeeeee!!!!! Uchoko tena. Dah ngumu kumeza. Hata km ni Ku act Mungu hapendi ujue.
Nondo za maana. Ngoja niziingilie prepo usiku huu.
Asante sana. I owe you one.