Can you love one woman??

Can you love one woman??

Wizkid
I can never love one woman – Wizkid discloses

My Geography teacher once told me that “an African man is born to polygamous, not until the Whites came with their ‘lies’ that we can only settle with a woman.”

It appears this is one principle Nigerian singer, Wizkid, holds unto dearly.

The “Fever” crooner has revealed in a new interview that he can never stick to a woman.

In the interview, he admitted to having several girlfriends and claims all his girls know he has other girls.

When asked if he will ever settle down with any particular one, his reply is one that will give no woman hope.

“That will be hard because I have a lot of women that are really, really dear to my heart” he said.

Wizkid is known to have romanced many women in his illustrious career, rumour are even rife that MAVIN First Lady, Tiwa Savage is the one warming his beds now.

Tehteh...haya ya kweli wazee!! Wewe unaweza kupenda mwanamke mmoja!
Kupenda kuko kwa aina nyingi. My Mama ni Woman na ninampenda. Niko na watoto wakubwa wa kike nao nawapenda pia. But kama kimapenzi ndio love yenyewe uliomaanisha jibu ni yes, I can Love Only One Woman, that is my Wife.

But hii haizuii kugegeda wanawake wengine, havina uhusiano kabisa. Naweza kuchepuka still nikawa nampenda Wife wangu. Kumgegeda Only wife is possible if only Dunia nzima yuko yeye mwanamke mmoja pekee.
 
Kama ataweza timiza haja zote (game kila inapohitajika) YES. Tofauti na hapo NO.
 
Kila kitu kinawezekana kama mkiamua

Kila kitu ni kupanga na kupanga ni kuchagua

Hakuna linaloshindikana chini ya jua
Kila kitu hakiwezekani.... Sio kila kitu kinawezekana.


Vipi wewe utakubali kama wanavyokubali wachuchu wa Wizkid?
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kupenda, kutamani na kutokujitambua.

Hiyo tofauti ndio inafanya wengine wabake, waingilie wanyama, wanunue wadada wanaojiuza, wasumbue kila anaepita mbele yao.

Vijana wenyewe wanaokula kila aina ya uchafu kisa wameambiwa inabust ndio wa kusema hawawezi kupenda mwanamke mmoja?
Kwa hiyo kila binadamu kafungwa kumpenda mmoja tu mzee baba?
 
My pure African man have me but he had other women too to make life goes on.

I love him the way he is... si kuwa sina wivu nao ila ndo uhalisia.... akija kwangu nampa mahaba yote.

K' Matata.
I like the way you think.....
 
In what contex.
Kumpenda kama mke?
Maana maishani mwako wapo mama,shangazi,dada,mke,watoto wa kike nk wote ni wanawake na huwezi kuniambia huwapendi.
Huyu mwalimu wako ama ni mpuuzi au ni mzee wa mila au dini au utamaduni wa kabila lake unatuhusu.
 
Back
Top Bottom