Can I change Him?

Hebu niambieni akina mama/dada wenzangu.Pengine nina rafiki nataka kupeleka mahusiano katika hatua nyingine labda ndoa tuseme.Na huyu mlengwa pengine ana tabia fulani au tuseme mazingira fulani ambayo nisingependa awe nayo katika hiyo level nyingine.
Kwa mfano ni mwizi/jambazi,mlevi,Fukara(hana hela wala kazi-naweza kusema ni mvivu) na mambo kama hayo.
Na pengine nishamwambia kuwa sipendi 1,2,3......ya hizo tabia na akaahidi kuwa atabadilika.
Vilevile katika interraction mbali x2 na marafiki hasa wanaume mara nyingi nimekuwa nikiwasikia wakisema kuwa MWANAMKE anauwezo mkubwa wa kumbadilisha na kumtengeneza mwanaume katika mahusiano the way anataka awe.
Sasa swali langu ni kuwa Is this true?
Wakina kaka pia mnaweza kuniambia eti mnaweza kubadilishwa na wanawake mkawa waume wema wenye kuonyesha mfano mwema?
Chrispin naomba usiingie kwenye hii thread inakuhusu

Ahaaaa:couch2::decision:
 
Let me argue in Gods perspective, Dear Charity u can only pray for someone to change but you cant change his attitude, hio ni kazi ya Mungu kumbadili mwanadamu.
 
KWA kweli hapo upo kwenye mtihani, hilo zoezi ni gumu kupita kiasi, na mara nyingi huwa alifanywi ndani ya ndoa na hata kama kwenye uchumba ni zoezi la zaidi ya mwaka na huku mkiwa karibu sana, matatizo mengi yameshajitokeza kwenye hili zoezi, tatizo linaweza kuwa MTU ALI-PRITENDI, HALI YA KIMAISHA KUBADILIKA, MARAFIKI, NA VITU VINGINE VINGI TU
 
1.kwenye ndoa si mahala pa kubadili tabia za msingi labda mchumba awe below 20 yrs
2.tabia ndogo ndogo zaweza badilishwa,kama kuwa msafi...unaweza mbadili.
3.zile tabia zake mbaya,idadi yake zidisha kwa mbili ndizo jumla ya tabia zake zote usizozitaka......nina maana zipo tabia zingine mbaya kabisa hutazijua kamwe hadi uolewe.....usitishike ni mambo ya kawaida.huyo jamaa yako sie yeye wa baadae.
4.hakuna mtu anaeoa/kuolewa na malaika, kila mtu ana kasoro nyingi tu ,hata wewe unazokasoro zako dawa nikuvumiliana
5.akikupenda sana sana,i mean sana...yaani kuzidi maelezo(na sijui utafanyaje hadi awe hivyo)basi aweza kuwa vile upendavyo kwa muda....penzi likichuja anarudia tabia yake ya awali.
6.kwenye uchumba kila mtu ni kondoo,mpole mwema,anajali....kila utakachomweleza ni ndio,yaani hapo nidhamu ni mia.baada ya ndoa nidhamu ni sifuri........
Inapungua hadi siku itafika sifuri.
Hata hivyo usijali sana....ni mawazo yangu tu. Mng'ang'anie sana huyo jamaa hadi kieleweke....si unajua tena?achana na mambo ya kumpekua pekua kuku,utashindwa kumla.
Tall bana hapo kwenye red umenifurahisha sana
 
Absolutely BIG NO. U can never change a man unless he wants to. Infact u can not change anyone be it a woman or a man.
 
Inawezekana kabisa... Ila inachukua muda sana na wengi wanaobadilika huwa wanaamua wenyewe kutokana na kusumbuliwa na mwanamke kwa nini huachi hiki au kile nk.. MKABIDHI MUNGU WALA USIZITEGEMEE AKILI ZAKO MWENYEWE...
 
dont even go wasting your energy on this ...............huwezi kumbadili mwanamme kwa tabia alizokulia nazo tokea utotoni hasa kama hizo tabia kwake anaziona zinamanufaa.

unaweza kubadilisha vitu vidogo sana kwa mwanamme na hiyo pia inataka patience ya hali ya juu na asijue kama unambadilisha.

kama hujaweza kubadilisha wakati wa uchumba ndani ya ndoa pia ujuwe hutaweza.
 
Try to remind him that what he is doing is in fact hurting you! If he really love u he will at least try to change his ways, or at least he will desperately want to try. If he don't then he don't love you back. and u know it is very painful to love someone who doesnt love u back...

But if he is addicted lets say pombe....it is bit difficult.. he might need a professional help....but he might admit to himself first that he really have a drinking problem and he is willing to get help....
 
Kazi kweli unayo,\
mwanaume ni kama jiwe la mtoni, kulivunja huliwezi.
Muombe Mungu ambadilishe.
Ukijaribu kwa jitihada zako binafsi, katu hutoweza.
 
Pamoja na ushauri/comments nyingi nzuri zilizotolewa ningependa kwanza kueleza kuwa kitendo cha kugundua na kumjua huyo mpenzi wako TABIA yake ni hatua kubwa. Wengine wakishapenda, HAWAONI, HAWASIKII WALA KUAMBILIKA - nakupa HONGERA.

Kuna TABIA NYINGINI NI SUGU - zinaambatana na mtu kuwa addicted/kufungwa/malezi - hizi Charity inabidi kuomba msaada wa Mungu - si unajua?? anaweza kubadilisha Jambazi likawa Mwinjilisti; Mwizi akaacha WIZI na kuwa mtu mwema tu - Kahaba akawa mama mzuri wa nyumbani etc. Mchawi akawa Mtumishi wa Mungu mzuri tu - Mungu ana nguvu za ajabu - ukimshirikisha ana uwezo wa Kubadilisha

Pia kuna tabia ambazo sio sugu - labda mpenzi wako hana ufahamu wa kuendesha maisha - unaweza kumbadilisha kwa kumfanyia counselling (ushauri nasaha); kumpatia mtaji etc. Labda ni mchafu - pia counselling na kumfundisha usafi etc. so WEWE unaweza ukahusika kumbadilisha ila sehemu kubwa ukimshirikisha Mungu - YOTE YANAWEZEKANA - NOTHING IS IMPOSSIBLE WITH GOD
Ila UWE NA MSIMAMO SANA WEWE MWENYEWE - NA UAMUE HATA KAMA KUTAKUWA NA SET-BACKS - UKAZANE HADI MWISHO -

NI VIZURI UKAFANYA HIVYO KABLA YA KUINGIA KWENYE NDOA - NA WEKA MITIHANI UHAKIKISHE KUWA KWELI AMEBADILIKA - KWANI WALIVYOSEMA WENGINE ANAWEZA KUFICHA MAKUCHA UKADHANI TAYARI KABADILIKA KUMBE SIO
May the Spirit of God Guide you
 
Hebu niambieni akina mama/dada wenzangu.Pengine nina rafiki nataka kupeleka mahusiano katika hatua nyingine labda ndoa tuseme.Na huyu mlengwa pengine ana tabia fulani au tuseme mazingira fulani ambayo nisingependa awe nayo katika hiyo level nyingine.
Kwa mfano ni mwizi/jambazi,mlevi,Fukara(hana hela wala kazi-naweza kusema ni mvivu) na mambo kama hayo.
Na pengine nishamwambia kuwa sipendi 1,2,3......ya hizo tabia na akaahidi kuwa atabadilika.
Vilevile katika interraction mbali x2 na marafiki hasa wanaume mara nyingi nimekuwa nikiwasikia wakisema kuwa MWANAMKE anauwezo mkubwa wa kumbadilisha na kumtengeneza mwanaume katika mahusiano the way anataka awe.
Sasa swali langu ni kuwa Is this true?
Wakina kaka pia mnaweza kuniambia eti mnaweza kubadilishwa na wanawake mkawa waume wema wenye kuonyesha mfano mwema?
Chrispin naomba usiingie kwenye hii thread inakuhusu
kwakweli kumbadilisha huwezi labda tabia ndogo ndogo kama vile uchafu akawa msafi na smart lkn hayo mengine mmmh! ni maombi tu!
 
Pamoja na ushauri/comments nyingi nzuri zilizotolewa ningependa kwanza kueleza kuwa kitendo cha kugundua na kumjua huyo mpenzi wako TABIA yake ni hatua kubwa. Wengine wakishapenda, HAWAONI, HAWASIKII WALA KUAMBILIKA - nakupa HONGERA.

Kuna TABIA NYINGINI NI SUGU - zinaambatana na mtu kuwa addicted/kufungwa/malezi - hizi Charity inabidi kuomba msaada wa Mungu - si unajua?? anaweza kubadilisha Jambazi likawa Mwinjilisti; Mwizi akaacha WIZI na kuwa mtu mwema tu - Kahaba akawa mama mzuri wa nyumbani etc. Mchawi akawa Mtumishi wa Mungu mzuri tu - Mungu ana nguvu za ajabu - ukimshirikisha ana uwezo wa Kubadilisha

Pia kuna tabia ambazo sio sugu - labda mpenzi wako hana ufahamu wa kuendesha maisha - unaweza kumbadilisha kwa kumfanyia counselling (ushauri nasaha); kumpatia mtaji etc. Labda ni mchafu - pia counselling na kumfundisha usafi etc. so WEWE unaweza ukahusika kumbadilisha ila sehemu kubwa ukimshirikisha Mungu - YOTE YANAWEZEKANA - NOTHING IS IMPOSSIBLE WITH GOD
Ila UWE NA MSIMAMO SANA WEWE MWENYEWE - NA UAMUE HATA KAMA KUTAKUWA NA SET-BACKS - UKAZANE HADI MWISHO -

NI VIZURI UKAFANYA HIVYO KABLA YA KUINGIA KWENYE NDOA - NA WEKA MITIHANI UHAKIKISHE KUWA KWELI AMEBADILIKA - KWANI WALIVYOSEMA WENGINE ANAWEZA KUFICHA MAKUCHA UKADHANI TAYARI KABADILIKA KUMBE SIO
May the Spirit of God Guide you

AMEN,Hicho kwenye red ndicho kinatia nguvu .Lakni yataka moyo.
 
Mwanaume yeyote anaweza kubadilishwa na mkewe, lakini sio kila mwanaume anaweza kubadilishwa. Actually mabadiliko makubwa yanatokea katika stage ya uchumba, kama huku imeshindikana, sahau kwenye ndoa...
Sijakupata, hebu rudia.
 
Teamo,Js.
Only God can make us eat PILAU.Kuanzia leo muanze maombi,si mmeona ushauri wa watu?
lakini kama lijamaa ni -Rijambazi.......ripereke porisi ritabadirika tu!!

1) Mwanaume habadilishwi kwenye tabia za namna unazoeleza
2) mwnaume unaweza kumbadilisha vitu amabvyo kimsingi....sio tabia, kama sehemu anazopenda kwenda, nguo anazovaa, aiana ya marafiki (japo hili nalo gumu), mtazamo katika maisha n.k
 
Tabia zake ndo kama hizo lakini tatizo ni kuwa hata nikitaka kumpotezea ananisihi sana niwe msaada wake katika kubadilika.Na ninamwona kabisa anafuata maelekezo ila inaweza kuwa ni kujipretend ili apate atakacho.
Kumpeleka polisi haiwezekani nitakuwa sijamsaidia,Ila nitahakikisha nina base sana kwenye mambo ya kiroho na hayo mengine(ya ndoa)ni matokeo.
 
Just like the rain cannot wash away the spots on a leopard, you cannot change a man. I believe in miracles, but changing a man is not one of them. I came to learn acknowledging that a man u cannot change is not being pessimistic but realistic...
 
mwaaaaaa!!!! hakika wewe ni mwelewa sana Theodora

the most important step kwa mwanamke [au hata mwanaume] ni kujua tabia za partner wako na kama haziendani, ni bora uepuke mapema kuliko kupata mateso ya moyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom