Can I change Him? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Can I change Him?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Zion Daughter, Jun 7, 2010.

 1. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Hebu niambieni akina mama/dada wenzangu.Pengine nina rafiki nataka kupeleka mahusiano katika hatua nyingine labda ndoa tuseme.Na huyu mlengwa pengine ana tabia fulani au tuseme mazingira fulani ambayo nisingependa awe nayo katika hiyo level nyingine.
  Kwa mfano ni mwizi/jambazi,mlevi,Fukara(hana hela wala kazi-naweza kusema ni mvivu) na mambo kama hayo.
  Na pengine nishamwambia kuwa sipendi 1,2,3......ya hizo tabia na akaahidi kuwa atabadilika.
  Vilevile katika interraction mbali x2 na marafiki hasa wanaume mara nyingi nimekuwa nikiwasikia wakisema kuwa MWANAMKE anauwezo mkubwa wa kumbadilisha na kumtengeneza mwanaume katika mahusiano the way anataka awe.
  Sasa swali langu ni kuwa Is this true?
  Wakina kaka pia mnaweza kuniambia eti mnaweza kubadilishwa na wanawake mkawa waume wema wenye kuonyesha mfano mwema?
  Chrispin naomba usiingie kwenye hii thread inakuhusu
   
 2. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  kuna dalili za kula ''PILAU'' na kwenda S/WANGA any time from now!.................
   
 3. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  kumtengeneza inawezakana, kumbadilisha ni ngumu kupita maelezo, atakupa ahadi hizo hizo za kubadlika kila kukicha lakini kumbadili mtu kwenye tabia yake(mtu mzima) ni ngumu sana,mkubali jinc alivyo.
   
 4. JS

  JS JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mpwa ndo nasikilizia hapa mwanawani dalili za mvua mawingu aisee
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  HEHEHE!
  umeona eeeehhhhh!
  tuimbe kidogo aiseeeee

  ANAMEEREMETAAAAAAAAAA.....anameremeeta
  charity anameremetaaaaa ANAMEREMETAAAAAAAA!

  jeiesi hebu kapitie pitie madesa yako ya accounts naona unakaribia kuchukua kazi
   
 6. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Charity,

  Mosi, Hizo tabia ulizozitaja habo juu haziwezi kubadilishwa na simply "your wife to be". Zinahitaji zaidi ya "ahadi ya kuacha"

  Pili, Hakuna mwanamke whatsoever mwenye uwezo wa kubadili tabia "mbaya" za mwanaume.

  Tatu, huwezi kubadilisha tabia ya mwanaume!
   
 7. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Charity ni ngumu sana kumbadilisha mwanaume na hapo ndipo wanawake wengi tunachemsha! We expect him to change and keep on hoping one day he will change something that will never happen! unaweza tu kujaribu kumweka katika mazingira ambayo yatamfanya ashindwe kuendekeza zile tabia zake usizopenda na pia jaribu kuconcentrate kwenye zile tabia upendazo kutoka kwako zaidi yani mwangalie positively zaidi.
  lakini kama hizo tabia ni zile zinazoweza kujakuumiza huko mbele think twice now before its too late!
   
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Kama ameonyesha dalili za kubadilika katika 1,2,3,4 ya yale uliyomuomba mkiwa ndani ya haya mahusiano ya sasa inawezekana lakini kama 1,2,3,4 unazomuomba mpaka sasa hakuna hata moja aliyobadili itakuwa ni ngumu ..itabidi kila siku kazi yako iwe kumkumbusha ..

  maji ya serengeti serengeti ndio litakuwa tatizo kuu kwako
   
 9. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  festiledi you have nailed it!CAN YOU PLEASE SPEAK IT LOUDLY AGAIN AND AGAIN AND AGAIN AND AGAIN!?!
  ingawa safari hii dadaangu amedhamiria kuingia kwee klabu ya wazee!
  i hope anaifuatilia sredi yangu na mastress ake
   
 10. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Mh...

  Umesahau kudumisha mila!!
   
 11. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #11
  Jun 7, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hahahahaha!say it again please!
  LAKINI NA WEWE UMESAHAU KUWA HAPA HATUPO KANISANI KWA MAUNGAMO
   
 12. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #12
  Jun 7, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Ndio maana niliificha, we unazifunua za nini!! (uchonganishi)
   
 13. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #13
  Jun 7, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  haya baba askofu!
   
 14. s

  shwishwi Member

  #14
  Jun 7, 2010
  Joined: May 21, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yes you can change some of his attitude ila ya pombe mazeee ni ngumuu mijamaa inapenda pombe kuliko wake zao.

  vitu simple ndio actualy ambazo unaweza kumbadilisha ila inachukua time na akijua kuwa unakusudi la kumbadilisha ndio anakuwa mgumu.
   
 15. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #15
  Jun 7, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  dah!haya bana
   
 16. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #16
  Jun 7, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,838
  Likes Received: 2,000
  Trophy Points: 280
  Charity, Haya yanawezekana sana na mimi nina mifano hai. For instance kuna mwanaume mmoja ndugu yangu alikuwa mlevi kupindukia lakini alipopata mke hata kabla ya kuoana alimbadilisha sana mpaka pombe kapunguza kwa kiasi kikubwa na mafanikio yanaonekana hata kwenye maisha yao ambayo jamaa alishindwa kuwa nayo hapo kabla
   
 17. T

  Tall JF-Expert Member

  #17
  Jun 7, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  1.kwenye ndoa si mahala pa kubadili tabia za msingi labda mchumba awe below 20 yrs
  2.tabia ndogo ndogo zaweza badilishwa,kama kuwa msafi...unaweza mbadili.
  3.zile tabia zake mbaya,idadi yake zidisha kwa mbili ndizo jumla ya tabia zake zote usizozitaka......nina maana zipo tabia zingine mbaya kabisa hutazijua kamwe hadi uolewe.....usitishike ni mambo ya kawaida.huyo jamaa yako sie yeye wa baadae.
  4.hakuna mtu anaeoa/kuolewa na malaika, kila mtu ana kasoro nyingi tu ,hata wewe unazokasoro zako dawa nikuvumiliana
  5.akikupenda sana sana,i mean sana...yaani kuzidi maelezo(na sijui utafanyaje hadi awe hivyo)basi aweza kuwa vile upendavyo kwa muda....penzi likichuja anarudia tabia yake ya awali.
  6.kwenye uchumba kila mtu ni kondoo,mpole mwema,anajali....kila utakachomweleza ni ndio,yaani hapo nidhamu ni mia.baada ya ndoa nidhamu ni sifuri........
  Inapungua hadi siku itafika sifuri.
  Hata hivyo usijali sana....ni mawazo yangu tu. Mng'ang'anie sana huyo jamaa hadi kieleweke....si unajua tena?achana na mambo ya kumpekua pekua kuku,utashindwa kumla.
   
 18. R

  Ramos JF-Expert Member

  #18
  Jun 7, 2010
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mwanaume yeyote anaweza kubadilishwa na mkewe, lakini sio kila mwanaume anaweza kubadilishwa. Actually mabadiliko makubwa yanatokea katika stage ya uchumba, kama huku imeshindikana, sahau kwenye ndoa...
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  Jun 7, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  wakuu tukubaliane kwamba ni wanaume wachache sana wanabadilika kutokana na kupata mwanamke wa aina fulani; na hata kama tunabadilika huwa inakua ya muda tu!

  sisi ni viumbe wagumu, full of pride na hupenda zaidi good time zetu na ukiona tunabadilika basi ujue tunafaidika zaidi kwa kubadilika; it is complicated but rest assured if you think you have changed a man, wait for a while and you will see the old pal popping up just like old days

  KAMA NI KUBADILIKA, BASI SUBIRI ABADILIKE MWENYEWE... THAT WILL BE SUSTAINABLE, BUT ANY EXTERNAL FORCES WILL JUST BE ABSORBED AND OLD TIMER SHALL PREVAIL AFTER A WHILE
   
 20. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #20
  Jun 7, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ..mnh labda kwa maombi...

  ...i dont beleive i can change, a fully grown up man!
   
Loading...