Can I ask you a question??

Can I ask you a question??

yah inatokeaga ki2 km hyo bt most kwa unexpected person akiask or may be u hav don sumthing sasa unaskilizia outcomes lazma uogope. mbaya zyd kiwe ki2 kibaya.
 
kinafuata hapo ni mzinga...binafsi huwa nazipotezea kimtindo
 
Especially kama umeharibu,lazima upate stress kidogo
 
labda kama uwe na skendo za kuiba wake za watu/waume za watu hapo ndo kiroho juu
 
nilipokuuliza moyo ulidunda enhe? huyo sio Preta!huyo anaonekana kabisa ni janadume limejikobeka mipoda na miwanja!

Duh ww Chizenga ni noma...halafu hakuna mwana jf yoyote aliyeshtukia hiyo picha except you !!
unaoneka una kipaji cha utaalam ..... Umeona hiyo avatar sura limekubuhu
 
Duh ww Chizenga ni noma...halafu hakuna mwana jf yoyote aliyeshtukia hiyo picha except you !!
unaoneka una kipaji cha utaalam ..... Umeona hiyo avatar sura limekubuhu

mimi nina kipaji cha kung'amua mbivu na mbichi!lol!halafu kazidisha kujiremba mpaka anataka kufanana na lile katuni la kichina nyani shifon!haaaa!haaaa!haaaa
 
mimi nina kipaji cha kung'amua mbivu na mbichi!lol!halafu kazidisha kujiremba mpaka anataka kufanana na lile katuni la kichina nyani shifon!haaaa!haaaa!haaaa
Hahaha mara nyingi nikiwachunza wana jf , ww unashtukia.....
kuna siku niliwaambia wawe wanatumia mashuka ya zambarau..
ukawashtua kuwa yanasababisha.....
 
Back
Top Bottom