Kutokana na forensic science niliyoipitia,Kama ya tukio hili hapa chini kwenye youtube:
Jamaa aliondoka kwenye crime scene na jani la mti lilidondokea kwenye cabin ya pick-up yake. Na hili wanakiri kuwa ni tukio ambalo kwa mara ya kwanza DNA ya mti ilitumika kama ushahidi mahakamani na kumtia hatiani mtuhumiwa. Kabla ya hapo, DNA ya mti ilikuwa haijawahi kutumika, isipokuwa ya binadamu tu. Hawa jamaa huwa wanatumia akili kubwa hadi huwa inanipa maumivu mwilini nikianza kufikiria wanavyofanya kazi! Acha kabisa
Kutokana na forensic science niliyoipitia,
Kuna case study moja niliicheki jamaa alifanya mauaji ya mwanamke na kwenda kumtupa kwenye majalala huko eneo jingine.
E.g Kwa mkoa wa mara tarime ina ardhi tofauti na Musoma Manispaa,
Hivyo katika uchunguzi wa gari ulipofanyika kwa suspect wa mauaji alikutwa katika gari lake tyres zina udongo (soil sample tofauti na ya eneo husika)
Katika soil sample analysis (evidence) iliyofanyika kwenye eneo la mauaji ili match na ile iliyoko kwenye tyres za gari lililokamatwa la suspect.
Hapa unaona hata udongo pia unaweza kutumika..
- Kuna trace evidences kama hair,blood stain, saliva n.k
Kwenye huo unaouiita ujinga ujinga, ndiyo huwa kuna siri za mambo makubwa yamejificha humo! Mambo makubwa huwa hayajifichi kwenye mambo makubwa, huwa yanajifificha kwenye vitu vya kijinga kijinga ili akili kubwa itumike kuweza kuyaona!. Kwa mfano, kuna real story ya jamaa mmoja aliwahi kufukua maiti halafu akaenda akaichoma kwenye gari lake, ili ionekeane kuwa amepata ajali yeye mwenyewe akiwa anaendesha gari, ili mke wake alipwe LIFE INSURANCE, hatimaye yeye akawa amebadilisha identity baada ya muda, ikaonekana ni mchumba mpya wa yule mwanamke aliyepoteza mme wake kwa ajali ya gari,..., ili wale bata vizuri! Kumbe polisi walishauona mchoro kwenye scene ya ajali kwa vitu viwili vidogo tu, cha kwanza "there was no skidding marks on the road" ambazo zingethibitisha kuwa ilikuwa ajali iliyopelekea gari kuungua, na cha pili, dereva akipata ajali akaungua ndani ya gari alilokuwa akiendesha, kiti cha dereva huwa hakiteketei chote. Kwa case ya huyu jamaa kwa sababu alienda akafukua maiti ya miezi kadhaa na kuiweka kwenye gari ahalafu akaitia kiberiti, kiti cha dereva kilikuwa kimetekea chote! Mambo makubwa huwa hayajifichi kwenye vitu vikubwa sana, in most cases!
Acha uongoo mkuu ajali ngapi tumeziona zikiteketea kwa moto na dereva akiwepo kwenye kiti vyote vinakuwa majivu...?
Tembea uone achana na story
Bora tumekupata mtaalamu. Kuna ubishi uliwahi kutokea humu siku za nyuma. Huyu jamaa hapa aliwahi kunibishia, anaweza kuwa yuko sahihi? Nilishamjibu na nikamwekea na ushahidi huu hapa:
Nitakuja kuendelea baada ya muda fulani.. Na nitaisikiliza video kwa makini okwa maana bado sija settle kwa hapa nilipo.
Dah.... Asante sana nimejikuta nakuwa mwanafunzi wa investigation cases.... Kuna vitu vipya nimejifunza... Nasubiri mwendelezo kwa hamuMkuu Makanyaga
Wachunguzi kabla ya ku employ advanced technics katika kusolve crimes huanza na basics ambazo huwa kama hivi,
1. Deductive Reasoning
Hapa wachunguzi hutumia viashiria (clues) na visababishi (leads) kufikia kutoa hitimisho (conclusion) through d.reasoning.
Mara nyingi polisi hawafuati mpangilio wa matukio katika kufikia hitimisho la uchunguzi wa kesi husika. Eg. 7,2,5,4....
Hizi clues and leads huchukuliwa randomly Mpaka pale ushahidi mpya utakapopatikana ndipo utaongezwa katika viashiria (clues) za kesi.
Baada ya ushahidi kwa kiwango kikubwa kupatikana, Ndipo hapo sasa huanza ku organize clues katika mpangilio sahihi e.g 1,2,3...
Kinachofuatia ni wachunguzi kuangalia vitu ambavyo vinavyoweza kuwa havihusiani na eneo husika la tukio na kuchukua details za hapa na pale.
- Mashahidi huanza kuhojiwa na washukiwa (wa kesi kama wapo) wakiwa wamehusihwa kwa namna moja au nyingine.
Hapa pia kuna hitimisho hufikiwa kwa wakati ambapo uchunguzi unakua unaendelea kufanyika
Kwa wakati huo autospy na lab reports zinakua studied na kuchunguzwa kwa kina katika kuhakikisha wanapata maana hasa ya viashiria vilivyopatikana kwenye kesi husika.
A cimbination of these actions helps the investigators to know what CLUES mean.
Nitakuja kuendelea baada ya muda fulani.. Na nitaisikiliza video kwa makini okwa maana bado sija settle kwa hapa nilipo.
Done for today.Dah.... Asante sana nimejikuta nakuwa mwanafunzi wa investigation cases.... Kuna vitu vipya nimejifunza... Nasubiri mwendelezo kwa hamu
Pamoja sana mkuu.[emoji123][emoji123][emoji115][emoji106]asante sana kwa Madini haya
Nitajifunza hii kitu for interestKatika vehicular accident investigations and reconstructions
Ina ishu nyingi sana sana ambazo ukipitia kila moja moja ni mada kamili kwani nimebakisha,
- Kuna investigation zinazofanyika ktk fresh scenes (uchunguzi baada ya ajali kutokea, Stale or aged scene (kufanya uchunguzi baada ya eneo la ajali kupatikana baada ya siku nyingi,
Cc Makanyaga Mshanajr
Ni nzuri,Nitajifunza hii kitu for interest
Mkuu kuna yule mzee anafanana na jonh cheyo alipo rais na yeye yupo ni nani yule?hebu nisaidie[emoji15][emoji15][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Jr[emoji769]
suala la lissu ulijaribu kufanya uchunguzNi nzuri,
Binafsi nimeisoma darasani na sikutaka kuishia hapo japokuwa scope yangu iliishia kwenhe ishu za experiments zaidi.. (forensic chemistry) hivyo haifiki katika ishu za vehicles wala ballistics na weapons maana imeingia katika forensic physics japokua zote ni forensic science.
Huku nimejisogeza kwa sbabu ya kiu na curiousity tu.
Sijakusoma mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe hii ndiyo ID yako...okayMimi ni mwalimu mkuu.
Labda naitumia katika ishu nzima ya ku detect forgeries kwa wanafunzi, miandiko, alama za kughushi na masuala ya kielimu kwani nimepitia na ishu za forgery.
Main topic: Camos & InformersKumbe hii ndiyo ID yako...okay
Fikra zangu zilikuwa sahihi[emoji120][emoji120][emoji120]Mimi ni mwalimu mkuu.
Labda naitumia katika ishu nzima ya ku detect forgeries kwa wanafunzi, miandiko, alama za kughushi na masuala ya kielimu kwani nimepitia na ishu za forgery.