Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 9,293
- 12,874
kati ya simu ya tecno ambayo unaweza ukauziwa tecno fake ni C8 sijui kama ni model mbili tofauti kuna c8 yenye 4G na ingine ya 3g but kama utaki kuchangnywa chukua c5 ina 4G ndo mana hivi vi mtk sivipendiNapata 3G mkuu. Ok, nikisha download hiyo speed test nafanyaje?
hio solution imetolewa hapo juu, ila watu hawajataka kuifuataChief kukusaidia tu washauri wauliza maswali wa update system version za simu zao maswali yange pungua.
Nenda kwenye setting, kisha tafuta kitu kimeandikwa about phone ukibonyeza hyo utaona kitu kimeandkwa update systeam then fuata maelekezo yote baadae ukisha update simu itazma ikiwaka nenda kwenye hyo update tena utaona kuna update mpya za setting za 2g au 3g au zote kwa pamoja
Wakuu nimefuata njia zote na maelekezo yote mpaka ikafika sehemu simu ikazima na kuandika Conglatulation.... Lkn bado simu inasoma 3G tu haipandishi H+. Nifanye nini?Mkuu Kefaville, nimefuata maelezo yako,zamani iligoma sbb WIFi ipo On pale, nikaifuta, ikakubali ku up grade na maneno yafuatayo yalikuja "Optimizing app 31/108, hiyo 31 ilipanda mpk 108.Alafu ikaandika The reboot is finish congratulation C8 352-A2-L-20151207.Simu ilizimika na ilipowaka Pale kwenye update ikasema Now ur using latest vision, na H+ ikasoma. Asante kwa kutuvumila humu ndani. Mungu awabarik sana
jamaa upo makini utaki kuacha hata herufi moja hadi said.Nimeona kikatuni Android 5:0:2 ndo naifanyia kazi asante kwa kunisaidia@kafaville said
Angalia kama kuna update nyingine coz update zilitoka nyingi tuWakuu nimefuata njia zote na maelekezo yote mpaka ikafika sehemu simu ikazima na kuandika Conglatulation.... Lkn bado simu inasoma 3G tu haipandishi H+. Nifanye nini?
chief-bado tatizo langu ,instagram video hazisomi ktk laptop yanguhio solution imetolewa hapo juu, ila watu hawajataka kuifuata
jamaa upo makini utaki kuacha hata herufi moja hadi said.
C8 ilikuja na optimization ya 3g tu wanasema kutunza chaji, badae ilifanyiwa uptodate ndipo zikaja izi H+ wengi hawaja uptodate simu hata UI zai bado ni zile za kwanza.
Fanye uptodate zote tatu zitasaidia simu kuwa stable na ku clear some bugs
Ata mimi nasubir Marshmallow mkuuMimi naisubiri marshmallow hiyo february.
Mis powers hii yako balaaTecno c8 zinasumbua sn upande wa network, lkn ucku kuanzia saa tano utashangaa inaanza kufanya kaz vzur tu.. N tatzo la simu zao
Tatzo sio simu tatzo ni mitandao yetu hii...me natmia c8 mda wote network IPO poa ni mwendo wa H+Tecno c8 zinasumbua sn upande wa network, lkn ucku kuanzia saa tano utashangaa inaanza kufanya kaz vzur tu.. N tatzo la simu zao
Hv halotel wana kifurush cha Usiku?,je unajiungaje na VP kuhus speed hawabani km mitandao mingne?Mitandao yetu ndio hovyo, hawendani na muda watumiaji ni wengi mitandao inaelemewa ndio maana usiku huwa inatulia sababu watumiaji hupungua.
Tatizo sio simu hasa matoleo ya hv karibu tatizo la kasi ya internet ni simu chache sana.
Kwa ushauri wa bure kwa ishu net tumia Halotel