nenda setting then kwenye wireless and network tafuta mobile network halafu nenda network mode halafu utakuta vitu vitatu vya kuchagua gsm(2g), wcdma(3g) na both so chagua hio 3g only
Mkuu nina htc disire 816 bt inasomaa E tu hata uweke 3g ni mpya kabsa hii simu, msaada wak unaitajka mkuu