Cameroon kama Egpty/Tunisia/Libya

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
804
Huwezi amini kwamba ule moto uliowashwa Tunisia, ukaenda Egpty na ambao kwa sasa tunausikia Libya si kitambo utawashwa nchin Cameroon. Madai ya Raia hawa ni yale yale ya kupinga serikali ya Rais Paul Biya aliyedumu madarakani mwaka wa 28 sasa, na yupo ktk mchakato wa kugombea kipindi kingine ktk uchaguzi unaotiliwa mashaka wa kutokuwa huru na haki. Kwa mwendo huu natumai EAST AFRICA ITAFIKIWA SI KITAMBO NA UPEPO HUU, natabiri moto huu kuanzia kenya, uganda then tz.
 
 
Very soon tutayaona haya Afrika ya Mashariki kwani hali imezidi kuwa ngumu
 
i think in east africa uganda should lead the way kwa kua rais kakaa mda mrefu, then itafuata bongo kwa chama kimoja kukaa mda mrefu wakati hamna jipya na danganya toto yao ya kubadili watu wakati chama ni kilekile! mwendo utakua wa maandamano mpaka kieleweke, karibu wave ya revolution in east africa!
 
upepo wa mabadiliko unapozuru wengine tunaomba usitupite na sisi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…