Cameroon kama Egpty/Tunisia/Libya

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
Huwezi amini kwamba ule moto uliowashwa Tunisia, ukaenda Egpty na ambao kwa sasa tunausikia Libya si kitambo utawashwa nchin Cameroon. Madai ya Raia hawa ni yale yale ya kupinga serikali ya Rais Paul Biya aliyedumu madarakani mwaka wa 28 sasa, na yupo ktk mchakato wa kugombea kipindi kingine ktk uchaguzi unaotiliwa mashaka wa kutokuwa huru na haki. Kwa mwendo huu natumai EAST AFRICA ITAFIKIWA SI KITAMBO NA UPEPO HUU, natabiri moto huu kuanzia kenya, uganda then tz.
 
Huwezi amini kwamba ule moto uliowashwa Tunisia, ukaenda Egpty na ambao kwa sasa tunausikia Libya si kitambo utawashwa nchin Cameroon. Madai ya Raia hawa ni yale yale ya kupinga serikali ya Rais Paul Biya aliyedumu madarakani mwaka wa 28 sasa, na yupo ktk mchakato wa kugombea kipindi kingine ktk uchaguzi unaotiliwa mashaka wa kutokuwa huru na haki. Kwa mwendo huu natumai EAST AFRICA ITAFIKIWA SI KITAMBO NA UPEPO HUU, natabiri moto huu kuanzia kenya, uganda then tz.[/QUOTE]

Na kinyume chake ndio ukweli wenyewe i.e hapo anatakiwa aondolewe kwanza mkwere ndio hao wengine wafuate
 
Very soon tutayaona haya Afrika ya Mashariki kwani hali imezidi kuwa ngumu
 
i think in east africa uganda should lead the way kwa kua rais kakaa mda mrefu, then itafuata bongo kwa chama kimoja kukaa mda mrefu wakati hamna jipya na danganya toto yao ya kubadili watu wakati chama ni kilekile! mwendo utakua wa maandamano mpaka kieleweke, karibu wave ya revolution in east africa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom