Camera za Azam-Tv kwenye mikutano ya kampeni

TataMadiba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2014
Posts
9,868
Reaction score
5,753
Ni Remote-controlled. Zinapiga picha kotokea utosini(Top viewed). Zina umbo la Helkopta na zina ukubwa sawa na ndege KUNGURU na ndiyo maana Ndege hao huzifuata wakifikiri ni Kunguru wenzao.

Kwa wale amba pengine huwa mnabaki kushangaa na kuacha kufuatilia hotuba za wanasiasa na sera zao, nimeona niwahabarishe na ukitaka kuona namna vijana wa Bakheresa wanavyofanya kazi, tembelea Basi lao kubwa ambalo huwa liko eneo la tukio.
 
duuhhhh balaaa tupo.....hawa jamaa wako so smart
 
Ilikuwa iko vizuri mno ile kamera first time niliona kwenye movi moja ya three ------
 
Ni Remote-controlled. Zinapiga picha kotokea utosini(Top viewed). Zina umbo la Helkopta na zina ukubwa sawa na ndege KUNGURU na ndiyo maana Ndege hao huzifuata wakifikiri ni Kunguru wenzao. Kwa wale amba pengine huwa mnabaki kushangaa na kuacha kufuatilia hotuba za wanasiasa na sera zao, nimeona niwahabarishe na ukitaka kuona namna vijana wa Bakheresa wanavyofanya kazi, tembelea Basi lao kubwa ambalo huwa liko eneo la tukio.

Hayo sawa...
Je; unaweza kutuambia ni kwa nini TBCCM inashindwa hadi na Azam ya Bakhresa....??
 
Ni Remote-controlled. Zinapiga picha kotokea utosini(Top viewed). Zina umbo la Helkopta na zina ukubwa sawa na ndege KUNGURU na ndiyo maana Ndege hao huzifuata wakifikiri ni Kunguru wenzao. Kwa wale amba pengine huwa mnabaki kushangaa na kuacha kufuatilia hotuba za wanasiasa na sera zao, nimeona niwahabarishe na ukitaka kuona namna vijana wa Bakheresa wanavyofanya kazi, tembelea Basi lao kubwa ambalo huwa liko eneo la tukio.
Wewe kweli bado poyoyo yaani hata hilo unashangaa hadi unafungulia thread kweli hauna kazi zaidi ya kujipendekeza lumumba.

swissme
 
Mleta mada acha ushamba hizo ni drones camera???[MENTION]moderator[/MENTION] huu uzi upo humu naomba muunganishe ili mleta mada apate elimu ya bureeeee
 
Drone cams in action, Tanzania Police wanaweza kuzitumia ktk matukio kama ya kuangaza wauza madawa ya kulevya, ujambazi hata matukio ya ugaidi when tipped au police pursuits barabarani.
 
Ni Remote-controlled. Zinapiga picha kotokea utosini(Top viewed). Zina umbo la Helkopta na zina ukubwa sawa na ndege KUNGURU na ndiyo maana Ndege hao huzifuata wakifikiri ni Kunguru wenzao. Kwa wale amba pengine huwa mnabaki kushangaa na kuacha kufuatilia hotuba za wanasiasa na sera zao, nimeona niwahabarishe na ukitaka kuona namna vijana wa Bakheresa wanavyofanya kazi, tembelea Basi lao kubwa ambalo huwa liko eneo la tukio.

Ni jambo zuri tena jema kuona maendeleo ya namna hiyo ya camera ya kileo; ndo maana Lowassa anasema anachukia umaskini,

Sasa nikuulize swali, kati ya serikali na mtu binafsi nani anakusanya kodi ? Inakuwaje mtu binafsi anamiliki uchumi na mitambo ya kileo lakini TBC hawana ukijibu vyema utajijengea heshima humu ndani.
 
Wewe kweli bado poyoyo yaani hata hilo unashangaa hadi unafungulia thread kweli hauna kazi zaidi ya kujipendekeza lumumba.

swissme
Mkuu siyo wote wanajua kama wewe. Kuna watu wanafaidika na maelezo haya. Sioni kosa lolote kwani hii ni sehemu ya elimu. Acha tu atufafanulie sisi tuliokuwa hatujui, wewe unayejua ungepita zako tu.
 
Mleta mada acha ushamba hizo ni drones camera???moderator huu uzi upo humu naomba muunganishe ili mleta mada apate elimu ya bureeeee
\

Mkuu siyo wote wanajua kama wewe. Kuna watu wanafaidika na maelezo haya. Sioni kosa lolote kwani hii ni sehemu ya elimu. Acha tu atufafanulie sisi tuliokuwa hatujui, wewe unayejua ungepita zako tu.
 
Ni jambo zuri tena jema kuona maendeleo ya namna hiyo ya camera ya kileo; ndo maana Lowassa anasema anachukia umaskini,

Sasa nikuulize swali, kati ya serikali na mtu binafsi nani anakusanya kodi ? Inakuwaje mtu binafsi anamiliki uchumi na mitambo ya kileo lakini TBC hawana ukijibu vyema utajijengea heshima humu ndani.

Mapoyoyo sana na bado wanaona ni haki yao kukosa nyenzo hizo.
Tata madiba
 
Last edited by a moderator:
Siyo kila drone camera ni za azam wewe gamba wapo watu binafsi wenye drone camera na wanazitumia kwa kazi zao ata wewe ukitaka kubwa nazo unaweza
 
Unaishangaa TBC kukosa drones camera, mi nilitegemea ushangae CHADEMA wanaolipwa zaidi ya mil 250 kwa mwezi ndani ya miaka mitano hawana office wamepanga tu kwenye kibanda cha choo tu pale UFIPA
Huko Iringa ofisi za chadema ziko guest house
 
Back
Top Bottom