Camera ndani ya jiji na viunga vyake

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
16,962
2,000
Asante kwa taarifa, ila nilichokigundua kutoka kariakoo hadi usawa wa kimara kamera ni moja tuu sijui mbele zaidi. Kamera nyingi zimeegeshwa upande wa wakubwa au mitaa iliyojipanga yaani posta hadi kunduchi.
Ila kutoka town au kariakoo hadi chanika au mbagala kweupeeee.

Anyways ukisimamia na kukanyagia 50 utakuwa salama popote pale labda uwe hujafunga mkanda.
Assnte Mshana jr, Wakedhije wana na wifi.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
146,449
2,000
Asante kwa taarifa, ila nilichokigundua kutoka kariakoo hadi usawa wa kimara kamera ni moja tuu sijui mbele zaidi. Kamera nyingi zimeegeshwa upande wa wakubwa au mitaa iliyojipanga yaani posta hadi kunduchi.
Ila kutoka town au kariakoo hadi chanika au mbagala kweupeeee.

Anyways ukisimamia na kukanyagia 50 utakuwa salama popote pale labda uwe hujafunga mkanda.
Assnte Mshana jr, Wakedhije wana na wifi.
Kasie..! Hethina mburi kabitha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom