Camera man wa North Korea

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
4,467
11,360
Wakuu kwa haraka haraka nimebaini askari wa North korea si wa mchezo mchezo,

Jamaa hana wasi wasi kabisa,

Mtizame na huyo aliyeshikilia ngazi naye kwa haraka haraka yuko vizuri,

Hebu chambua na wewe kadri uwezavyo
8b8912713673454e3be653a2402cf8ea.jpg
 
Kwel wamarekan nawashirika wao niwaongo sana ndomaana media zote kubwa nizao ili watudanganye.nimesema hivo kwasababu wanatuaminisha kila siku kua nchi hii nimaskin kupindukia lakin jaman hayo maghorofa namiji ilivopangwa vizur hivo mbona haifanan natunavoambia yaan hata kwaafrika huomji hakuna nchi inayo
 
Kama hii nchi ni masikini duniani kwa mujibu wa marekani, basi sisi Tanzania hatuko kwenye hiyo dunia. Huenda sisi Africa tuna dunia yetu
Watu wa north korea ni masikini waliolazimishwa kufumba macho ili wasiuone umasikini wao!! Serikali ina pesa sawa! Ila asilimia kubwa ya fedha yote inaishia kwenye miradi ya nuclear weapons!! Eti raia haruhusiwi kumiliki hata Vitz!! Rais pekee ndiye tajiri kwenye hiyo nchi! Akifuatiwa na wanajeshi wa ngazi za juu! Huyo rais alishawahi kutamka kuwa ni heri watu wafe njaa lakini jeshi liwe imara! Yaani nchi nzima watu wanafanyia kazi jeshi tu!! Huo ni umasikini wa kiwango cha kutisha
 
Kwel wamarekan nawashirika wao niwaongo sana ndomaana media zote kubwa nizao ili watudanganye.nimesema hivo kwasababu wanatuaminisha kila siku kua nchi hii nimaskin kupindukia lakin jaman hayo maghorofa namiji ilivopangwa vizur hivo mbona haifanan natunavoambia yaan hata kwaafrika huomji hakuna nchi inayo
Hizo ghorofa kwa sura tu inaonesha kuwa hiyo nchi iko vizuri sana kiuchumi na mambo mengine
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Watu wa north korea ni masikini waliolazimishwa kufumba macho ili wasiuone umasikini wao!! Serikali ina pesa sawa! Ila asilimia kubwa ya fedha yote inaishia kwenye miradi ya nuclear weapons!! Eti raia haruhusiwi kumiliki hata Vitz!! Rais pekee ndiye tajiri kwenye hiyo nchi! Akifuatiwa na wanajeshi wa ngazi za juu! Huyo rais alishawahi kutamka kuwa ni heri watu wafe njaa lakini jeshi liwe imara! Yaani nchi nzima watu wanafanyia kazi jeshi tu!! Huo ni umasikini wa kiwango cha kutisha
Hata hapa Tz matajiri ni wachache WAZUNGU hawana maana kabisa
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Watu wa north korea ni masikini waliolazimishwa kufumba macho ili wasiuone umasikini wao!! Serikali ina pesa sawa! Ila asilimia kubwa ya fedha yote inaishia kwenye miradi ya nuclear weapons!! Eti raia haruhusiwi kumiliki hata Vitz!! Rais pekee ndiye tajiri kwenye hiyo nchi! Akifuatiwa na wanajeshi wa ngazi za juu! Huyo rais alishawahi kutamka kuwa ni heri watu wafe njaa lakini jeshi liwe imara! Yaani nchi nzima watu wanafanyia kazi jeshi tu!! Huo ni umasikini wa kiwango cha kutisha
Acha uongo na hayo maghorofa ndio kambi ya jeshi........ kwa hiyo barabara zote hizo za lami kwa ajili ya kupita raisi wao
 
Kwel ukitaka kumuua mbwa wako muite jina baya waswahili hawakukosea.nchi inaonyesha uwezo wa hali yajuu wa makombora na nyambiz namajaribio ya nyuklia kias hiko bado wamarekan nawenzao wanatuaminisha kua kuna watu wanakufa nautapiamlo nanchi hiyo nimaskin kiliko zote dunian
Walifanya hivyo Libya, sasa wananchi wamegeuka watumwa! Afanalek walahi mmarekani muhuni kweli kweli!
 
Back
Top Bottom