Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,317
- 3,430
Wakuu kwema? wale wazoefu simu yangu ya samsung aina ya S25 muda mwingi inaniambia camera failed hivyo haioperate chochote na baada y masaa mengi kupita hurudi na kuoperate normaly walau kwa muda mchache nimejaribu kufuata njia mbalibmali za online kusolve tatizo lakini bado lipo naomba msaada zaidi kwa mwenye ufahamu,kuna uwezekano wa kubadilisha harware part ya camera? au ndio nitaiua zaidi
NB:Chanzo cha tatizo nahisi ni kuanguka kwa simu.
NB:Chanzo cha tatizo nahisi ni kuanguka kwa simu.