Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,468
- 113,583
Japo unataka still camera tuu, dunia ya sasa ni dunia ya kidigitali yenye kuhitaji picha na video, hivyo kama unajiweza nunua canon.kwahyo mkuu vigezo gani hasa nkifika kwa muuzaji niangalie me nahitaji ya still pic tuu ila pic zenye ubora mzuri ili niendane na kasi ya 2016,na vipi yale malensi ni muhimu kuwa nayo kwa shuvhuli za kawaida tuu,then cjawahi ktumia hzo pro camera je itanisumbua mda gani ili na mm niwe pro? karibu sana
Hizo lensi ni muhimu kwa pro tuu, kwa mpiga picha wa matukio ya kawaida kama sherehe, huhitaji hayo ma lensi, ila raha ya kupiga picha ni kupiga picha nzuri, hivyo ukijua kutumia hizo lensi itakusaidia, mfano ukipiga picha ya pamoja kwa watu wengi lazima uwe na lensi ya wide angle, kupiga picha ya close up, ili uone hadi nywe moja moja au kipele, lazima utumie zoom, au unaweza kukaa mbali na kupata picha nzuri.
Ili kuwa pro kuna njia mbili kuu.
1. Kwenda shule hata ya miezi 3.
2. Kumiliki kamera na kuelekezwa na wazoefu, hivyo kujifunza kwa practice!.
Pasco