Camera: Canon v/s Nikon

issawema

JF-Expert Member
May 30, 2013
776
643
Wandungu habari zenu natumaini nyote wazima,
Nataka kununua proffesional camera lakini bado sijajua kampuni ipi kati ya hizo ina bidhaa bora achana na aina kwanza naomba msaada wa kiujumla ipi kampuni nzuri na product yake inadumu vizuri

Karibuni
 
Unahitaji professional camera je wewe mwenyewe ni professional? au unatumia uzoefu tu....anyway kwa vile umebase kwenye uimara nunua canon...mie nina canon D300 nadhani hadi mjukuu wangu atakuja itumia.
 
mimi si pro ila usitafute camera kwa kuangalia brandname wala megapixel, angalia vitu kama sensor, dynamic range, aperture nk hivyo ndio vina mchango mkubwa zaidi na kama kuna aina za camera unazo kichwani ungezieka hapa watu wakaangalia tofauti zao
megapixel ni muhimu mkuu thou Wachina wanazingua wanaweza kuandikia mega pix 18 but picha ukiona ni ya mp 5
 
me sio proffesional mkuu ila ntajitahidi kujifunzs taratibu
 
megapixel ni muhimu mkuu thou Wachina wanazingua wanaweza kuandikia mega pix 18 but picha ukiona ni ya mp 5
simu kali kama s6 kioo chake kinahitaji 4mp tu, na simu kama iphone kioo chake kinahitaji 1mp tu. tv za kawaida za flat hizi za laki 6 zinahitaji 1mp tu na matv yale ya mamilioni ya hela ambayo ni UHD au 4k yanahitaji max 8mp.

kwa maisha ya kawaida 2mp inatosha kabisa. unless unatengeneza banners na matangazo kama yale ya barabarani ndio utahitaji megapixel nyingi. kumbuka megapixel ni ukubwa wa picha tu.
 
Duuh basi tuna elimu tofauti juu neno MP hasa linapokuja suala la image composition.
 
simu kali kama s6 kioo chake kinahitaji 4mp tu, na simu kama iphone kioo chake kinahitaji 1mp tu. tv za kawaida za flat hizi za laki 6 zinahitaji 1mp tu na matv yale ya mamilioni ya hela ambayo ni UHD au 4k yanahitaji max 8mp.

kwa maisha ya kawaida 2mp inatosha kabisa. unless unatengeneza banners na matangazo kama yale ya barabarani ndio utahitaji megapixel nyingi. kumbuka megapixel ni ukubwa wa picha tu.
Labda ninaweza kutumia neno ujazo wa picha na sio ukubwa wa picha kama ulivyotumia wewe.
Kifupi kamera inanasa picha(image) kama pixel (sijui kiswahili chake).
Hivyo basi uwingi wa pixel (MEGA PIXEL = MILLION PIXEL) katika camera utapelekea picha itakayopigwa iwe na ujazo/uzito mkubwa ambao utatoa resolution nzuri kwenye hivyo ulivyovitaja sijui TV n.k sijui labda nimepitwa na technolojia TV na hivyo vioo vya simu vina Resolution na sio MP,MP zipo ndani ya kamera.
I stand to be corrected
 
megapixel kama ulivyosema ni pixel milioni moja

tuchukulie mfano iphone 6s resolution yake ni pixel 750 x 1334 hivyo ukizidisha hapo utapata pixel 1,000,500 so kioo cha iphone kina pixel milioni moja aka 1mp
 
wandungu habari zenu natumaini nyote wazima,
nataka kununua proffesional camera lakini bado cjajua kampuni ipi kati ya hzo inabidhaa bora achana na aina kwanza naomba msaada wa kiujumla ipi kampuni nzuri na product yake inadumu vizuri
karibuni
Mimi ni pro. Kama shughuli zako ni kupiga picha za still tuu, nunua Nikon D zina bei poa na picha nzuri kuliko Canon tatizo la Nikon ni hazina video!. Lakini kama unapiga still na kuna siku utahitaji kupiga picha za video, na pia unajiweza kiuchumi, then nenda kwenye Canon D-Mark II au III ila pia mkono lazima uwe mrefu, kwa sababu kamea za canon zina bei kuliko nikon kwa sababu zinapiga video.

Kwenye top ten camera, nafasi ya kwanza, ya pili na ya tatu, zimeshikwa na Nikon, Canon imeshika nafasi ya 4 na nafasi ya 5 ni Sony. Ndani ya top ten, kuna Nikon 5, Canon 4 na Sony 1.

Kamea ni hizi na bei ni hizi

Gold Award

Nikon D750

$1996.95
Review

2

Nikon D4S

$5996.95
Review

3

Nikon D810

$2996.95
Review

4

Canon EOS 1D X

$4599.00
Review

5

Sony Alpha a99

$1998.00
Review

6

Nikon D610

$1496.95
Review

7

Canon EOS 5D Mark III

$2499.00
Review

8

Nikon D7200

$1196.95
Review

9

Canon EOS 6D

$1399.00
Review

10

- See more at: The Best Professional DSLR of 2016 | Top Ten Reviews
 
OK.but kama umetumia camera (Sio za simu) na una expirience na photography utakuwa umegundua umuhimu wa MP katka camera thou sometimes taken as marketing hype but kwangu mimi kwenye hizi DSRL naanza na MP kama enzi hizo tulivyojali CCD na CMOS
 
Mimi ni pro. Kama shughuli zako ni kupiga picha za still tuu, nunua Nikon D zina bei poa na picha nzuri kuliko Canon tatizo la Nikon ni hazina video!. Lakini kama unapiga still na kuna siku utahitaji kupiga picha za video, na pia unajiweza kiuchumi, then nenda kwenye Canon D-Mark II au III ila pia mkono lazima uwe mrefu, kwa sababu kamea za canon zina bei kuliko nikon kwa sababu zinapiga video.

Kwenye top ten camera, nafasi ya kwanza, ya pili na ya tatu, zimeshikwa na Nikon, Canon imeshika nafasi ya 4 na nafasi ya 5 ni Sony. Ndani ya top ten, kuna Nikon 5, Canon 4 na Sony 1.

Kamea ni hizi na bei ni hizi

Gold Award

Nikon D750

$1996.95
Review

2

Nikon D4S

$5996.95
Review

3

Nikon D810

$2996.95
Review

4

Canon EOS 1D X

$4599.00
Review

5

Sony Alpha a99

$1998.00
Review

6

Nikon D610

$1496.95
Review

7

Canon EOS 5D Mark III

$2499.00
Review

8

Nikon D7200

$1196.95
Review

9

Canon EOS 6D

$1399.00
Review

10

- See more at: The Best Professional DSLR of 2016 | Top Ten Reviews
kwahyo mkuu vigezo gani hasa nkifika kwa muuzaji niangalie me nahitaji ya still pic tuu ila pic zenye ubora mzuri ili niendane na kasi ya 2016,na vipi yale malensi ni muhimu kuwa nayo kwa shuvhuli za kawaida tuu,then cjawahi ktumia hzo pro camera je itanisumbua mda gani ili na mm niwe pro? karibu sana
 
mimi si pro ila usitafute camera kwa kuangalia brandname wala megapixel, angalia vitu kama sensor, dynamic range, aperture nk hivyo ndio vina mchango mkubwa zaidi na kama kuna aina za camera unazo kichwani ungezieka hapa watu wakaangalia tofauti zao
kwa vigezo hivyo kama sensor,dynamic range,aperture nk inabidi viweje chief hebu nielekeze sasa kinaga ubaga maana cjawahi kabisa tumia hizi camera za pro
 
Back
Top Bottom