Call waiting

Call waiting

Yegoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2012
Posts
1,434
Reaction score
510
Amani ya usku huu iwe kwenu wadau!!
Ivi unajisikiaje kila unapo mpigia mpenzi wako unakutana na call waiting!! haijalishi ni mda gani!!,, na utafanyaje ili hii hali uizoee!!
 
mpenzi wako ni mtu pia anandugu jamaa na marafiki ambao wanampigia au yeye anawapigia. sasa kuna tatizo gani hapo?
 
Kubali kwamba kwenye contactList yake haupo peke yako..
 
Utajipa presha bure, tuliza roho yako, ila ujiandae kukaribisha wageni
 
Hilo jambo la kawaida sana coz anawasiliana na watu wengine.
Kinachotakiwa ni kutoa negative akilin mwako kumhisi vibaya hapo mtaenda sanjari lakin kama utashindwa basi utaumia buuure kwa mawazo na ugomvi usio wa lazima
 
Ukipanik tu utaharibubkila kitu......alafu punguza wivu kdg 2 utakua na amani saaana...
 
Ahahaha hope wangu apite huku maana nanuniwaje..nashetani alivyo mbaya naweza nisipokee simu siku nzima ile napigiwa tu napokea nayeye huyo kapiga..

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kama vipi mnunulie redio call...hii huwa haina longolongo maana ukityuni tu kwenye channel yake utampata ene taimu
 
Ila inaumaga weachatu,kuna utamu wa kuwa bila ya mpenzi mambo kama hayo ukiyasikia unaona kawaida tu.
 
mpenzi wako ni mtu pia anandugu jamaa na marafiki ambao wanampigia au yeye anawapigia. sasa kuna tatizo gani hapo?

Kiukweli hamna tatizo kama hutajali muda..
Japo kuna call waiting nyingine mpaka saa 7,tena unapiga mara 5,zote call waiting hapo hamna kuzoea.
 
Amani ya usku huu iwe kwenu wadau!!
Ivi unajisikiaje kila unapo mpigia mpenzi wako unakutana na call waiting!! haijalishi ni mda gani!!,, na utafanyaje ili hii hali uizoee!!

We kweli ndo unabalehe.
Ume-blokiwa afu unasema call waiting.
 
huyo lazima atakuwa kuna Boya mwingine anaongea nae na wala sisiti kusema ni mpenzi wake.....we kila saa call waiting kwani imekuwa simu ya call center ya tigo hata hao pia sio kila saa
 
Anaongea na simu nyingine...so nitajaribu tena baadae
 
Atakuwa ameweka line kwenye Modem!

Hyo nakataa kabsaa mie nlishawah mfanyia mtu hvo huaga namba ina divertiwa kwenye waiting calls tu!wala anakua haongei na mtu au watu mda huo wote!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom